ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  2. Mshana Jr

    Ubunifu wa meza sehemu ya pili: Mbao asilia.. Ufundi uliotukuka..

  3. B

    Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

    Hello! Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana. Mechi kati ya Simba na...
  4. Ojuolegbha

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  5. M

    Wataalamu wa 'Vijiti' ndio watakaoipa ubingwa Simba au Yanga msimu huu, hakuna tena ufundi uwanjani

    Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
  6. Dazla tech

    Huduma ya ufundi popote ulipo

    Habari wanajamii forum kwa wale Wenye changamoto ya kiufundi kama TV,JBL SPEAKER, NA HOMETHETA unaweza nitafuta kwa namba 0655226738. Nafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
  7. S

    Yanga kung’oa Kocha Singida na benchi zima la ufundi

    Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic, Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi. Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.
  8. A

    DOKEZO Ufisadi na uozo wa Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi waanikwa, analindwa na Vigogo

    Nimepenyezewa taarifa zenye uhakika kwamba tarehe 10 Desemba 2024 kumefanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi almaarufu TAFCA ambalo ofisi zake zipo Magomeni Kagera Narudi nyuma kidogo. Mnyetishaji amenielezea kuwa Mkutano Mkuu wa TAFCA uliofanyika mnamo tarehe 18 Desemba...
  9. W

    Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  10. FRANCIS DA DON

    Napendekeza elimu ya ufundi stadi ianze kutokewa kuanzia ngazi ya chekechea

    Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo! Haya yafanyike kwa haraka!! Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14! Nipo tayari kwa hoja. Karibuni. PIA SOMA - SoC04 - Tanzania...
  11. BabaMorgan

    Mwanamke unayehitaji ndoa punguza ufundi kitandani

    Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la sivyo utakosa ndoa. Wakati wa kuonyesha ufundi ni pale ushapata ndoa tena sio ghafla bin vuu...
  12. F

    Vunjeni benchi zima la ufundi Taifa Stars

    Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji? Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
  13. N

    Flaviana Matata aonyesha ufundi wa kupika

    Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...
  14. Yoda

    Huu ni uoga wa kuibiwa mume au utani tu?

    Huyu mwanamke aliyempa mume wake jezi iliyoandikiwa "NIMEOA" katika sherehe ya harusi anaweza kuwa alikusudia nini?
  15. Magical power

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂
  16. Yoyo Zhou

    Karakana ya Luban yathibitisha ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika katika mafunzo ya ufundi stadi

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na majukwaa ya ushirikiano ikiwemo FOCAC, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya...
  17. L

    Ushauri wangu kwa wachezaji wa Simba na benchi la ufundi

    Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne...
  18. Vichekesho

    Confirmed: Benchi la Ufundi la Yanga halimhitaji Elie Mpanzu

    Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
  19. A

    KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  20. Bob Manson

    Ni zipi sababu za matumizi ya kokoto katika ujenzi wa reli?

    Habari za wakati huu wanajukwaa Naomba mnitoe ushamba na mtujuze kwa wale ambao hatufaham ni sababu zipi za kiufundi hupelekea matumizi ya kokoto katika ujenzi wa njia za reli.
Back
Top Bottom