CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Kwa wale wanaotaka kutoka kimaisha au wana interest na ufundi basi hii fani ya Plumbing ni mkombozi kwao, ina fursa nyingi sana za kujiajiri na kuajiriwa. Kwa utafiti wangu mafundi bomba baadhi yao hawajasomea hii kazi na wanaifanya kwa kubatisha sana, wachache ndio wanaiweza lakini pia fundi...
Mambo vipi wakuu,
Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu.
Lengo langu ni kupata...
Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za:
Makazi
Biashara
Sherehe na Ibada karibuni sana.
Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania.
Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na...
Tupigie 0743 916 262 kwa huduma za
Services za Engine pamoja na vilainishi vyake
Services za Gearbox pamoja na vilainishi vyake
Diagnosis
Kunyoosha Body na Kupaka Rangi
Tunapatikana Madale 6 pub njia ya kwenda Atlas Schools
Aliyekuwa kocha wa Zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ametangazwa na team ya Gwambina fc kuwa mkurugenzi mkuu wa ufundi wa team hiyo. Gwambina inakuwa team ya kwanza Tanzania kuwa na cheo Cha mkurugenzi mkuu wa ufundi, mfumo huu Ni mahususi Sana bara la ulaya mfano mzuri pale Chelsea mkurugenzi mkuu...
Shirika lisilo la kiselikali la Tanzania Deaf Skills Foundation TDSF, Kwa kushirikiana na Chuo cha ufundi stadi cha Moravian Kyela, wanatarajia kutoa mafunzo ya ufundi kwa viziwi kwa kutumia lugha ya alama. Mafunzo hayo ya miezi mitatu darasani na miezi mitatu mafunzo kwa vitendo, yamefadhiliwa...
Team,
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao ukosefu wa ajira rasmi umekua tatizo kubwa sana, Tanzania haiwezi kujitenga na ukweli huu.
Sasa, kwakuwa Serikali sikivu ya CCM imeua vyuo vya Ufundi na vile vya jamii ni vyema CHADEMA ikaunda na kutamka wazi wazi kuvifufua vyuo hivi.
Vyuo hivi baadhi...
Salaam wana jukwaa.
Naomba nianze moja kwa moja bila kupoteza muda. Mimi ni mhitimu wa Chuo cha Kikatoliki Mwenge, Moshi katika Bachelor of Science With Education. Katika pita pita zangu nimefundisha shule kadhaa tangu nimalize mwaka jana, Ila naomba kupata ujuzi zaidi katika Ufundi wa Simu...
Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf.
Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za...
Naomba kujua mwanafunzi akichaguliwa direct kwenda Chuo badala ya form 5 je gharama za Ada zinalipwa na serekali wenyew aw mzazi ndio anapaswa kulipiaaa
Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto.
Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na raslimali...
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli.
Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao.
Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema.
Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop
Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.