MASHIRIKISHO YA FILAMU, SANAA ZA MAONESHO NA UFUNDI TANZANIA WA KUTANA NA MWENEZI CCM TAIFA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka (Leo) Ijumaa 4 Machi, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Marais wa Mashirikisho matatu ya Filamu, Sanaa na Ufundi...
URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.
Marekani imesema itafuata Uamuzi wa...
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo...
Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha.
Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye...
Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo.
Kauli hiyo imetolewa Januari,15 2022 jijini Arusha na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika...
Brenda, msomi mwenye 'masters' aliyejikita kwenye ufundi seremala
Kote duniani vijana walio wengi wamepata elimu, lakini changamoto kubwa imekuwa ni suala la ajira, hivyo wanaamua kuutumia ujuzi wao kama muarobaini kukabiliana na changamoto hiyo.
Dar es Salaam. “Vijana wengi tukimaliza kusoma...
Mtandao wa intanet ni wa hivi punde na katika mambo mengi ni njia ya mawasiliano yenye nguvu zaidi kuliko watangulizi wake, yaani, telegrafu, simu, redio na televisheni.
Kwa watu wengi vyombo hivi vya habari vimeondoa hatua kwa hatua urefu wa muda na umbali wa kijiografia kama vizuizi vya...
Klabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni.
Taarifa zaidi zitakujia
1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi
2. Ally Mayai Meneja wa Timu
3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa
Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi...
Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.
Habari za majukumu wakuu
Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa Dar kwa miaka hii ya sasa. Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
Habari za majukumu wakuu.
Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa Dar kwa miaka hii ya sasa.
Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana...
Kutokana na hali ngumu nimepata kazi katika moja ya vyuo vya ufundi kutokana na elimu yangu ya degree na uzoefu kwenye ujenzi boss kanipa somo la plumbing sasa.
Anataka niandae syllabus.
Mwenye muongozo na hili anisaidie.
Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC?
Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au?
Huu Usimba na...
Wandugu Salamu!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikiwa kama mdau wa soka na shabiki wa Club ya Simba nimefanya ufuatiliaji wa performance ya kikosi chetu, nimebaini aadhi ya mapungufu ambayo kwa namna moja au nyingine yametunyima ushindi katika mechi tatu muhimu tulizocheza hadi sasa...
Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO.
Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
Habari wanajamvi,
Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au
Email: hafidhi07@gmail.com
Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo, mafundi makenika, umeme, useremala, ujenzi, usanifu, ushonaji na ususi. Lengo kuu lilikuwa ni kuandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.