ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    Kazi kama Ufundi Selemara, Uashi sio za watu ambao hawajaenda shule kama tunavyo amini

    Bongo kuna Kasumba na iko hivyo kwamba kazi za Ufundu Mbao au Uwashi ni za watu ambao hawakubahatika kwenda shule. Na hata wao wenyewe wanaamini hivyo na hawataki watoto wao waje kurithi hizo kazi.Ingawa ni kazi ambazo jamii inazihitaji sana almost kila siku. Hizi ni mindset za kijinga sana...
  2. L

    China yalivalia njuga suala la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa Afrika

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
  3. A

    Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

    Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
  4. ismaili sogora

    SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  5. R

    SoC04 Shule za ufundi Tanzania ziongezwe na Elimu ya ufundi ipewe kipaumbele

    Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya...
  6. N

    Napendekeza mteja alipie kifurushi tu, King'amuzi na ufundi viwe "bure"

    Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua? Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet wanatoa vifaa bure na gharama za ufundi, mteja analipia gharama za kifurushi tu tena kwa mwezi tu. Kwa...
  7. B

    SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  8. J

    SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  9. J

    SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
  10. msakhara

    Gypsum bora kwa sasa

    Habari wakuu, Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni. Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo: Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000) -Gyproc -Oriana Made in Thailand [Tsh 24000-27000] -Standard gypsum made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
  11. NALIA NGWENA

    Gamond na Benchi lako la ufundi mnapaswa kutambua kuwa mashabiki tutafurahi zaidi endapo Azizi ki atachukua kiatu cha ufungaji bora

    Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC. Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
  12. Angyelile99

    SoC04 Tuwajenge vijana wa elimu ya juu kujitegemea zaidi kwa kuanzisha kozi za ufundi stadi na ujasiliamali vyuoni

    Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi. Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
  13. K

    Je, ufundi wa pikipiki unalipa?

    Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?
  14. jafusadiki

    Natoa mafunzo ya umeme wa majumbani kwa vijana kuanzia miaka 10-17

    Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia miaka 18 na kuendelea utachangia kidogo karibuni sana Kwa mawasiliano №0624250426...
  15. Janma

    SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  16. D

    Natafuta kazi ya ufundi magari

    Habari za mda huu Naitwa Denis manase mmi Ni fundi wamagari nipo Arusha natafuta kazi hususan Ni ufundi wa magari naweza kutengeneza Magari kama -Toyota _Mistubish _subaru _tata _nk Kama Kuna mtu Ana huitaji wa fundi au company nipo tayari napatikana kwa number 0616484807
  17. NALIA NGWENA

    Gamondi na Benchi lake la ufundi wanapaswa kumvumilia Denis Nkane Kama wanavyomvumilia Clement Mzinze

    Denis Nkane ni Moja Kati ya Talanta kuntu sana katika taifa letu, Talanta hii kocha wa mpira Mohammed Nabi aliiamini kabisa na iliipa matokeo "what a supersub" Naam hakuna asiyekua umuhimu wa wa bwana mdogo Denis Nkane katika kikosi Cha Yanga Sc kipindi Cha Nabi. Toka amekuja Kocha Gamond bwana...
  18. M

    INAUZWA Vifaa vya ufundi selemala vinauzwa

    Vifaa vya ufundi Vyote 100,000 1)Spray gun ya umeme 2)Jigsaw 3)Clamp mbili za ukubwa wa 50*200 Mahali Dar es salaam Mawasiliano:0658 106 630
  19. K

    Natafuta Chuo bora sana Cha ufundi cha private

    Wadau, Nina watoto wamejaribu kufanya mitihani ili waingie veta lakini ni shida ni na nafasi chache sana kuliko wanaoomba. Hivyo nafikilia kuwasupport waende private VETA. Je, ni chuo kipi Bora cha ufundi mnachokifahamu ukimpeleka mtoto miaka miwili anatoka na ujuzi wa kujiajiri. Asante kwa...
  20. K

    Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

    Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
Back
Top Bottom