Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
Niende moja kwa moja kwenye mada husika ndugu wanajamvi.
Taifa lolote lazma liheshimu elimu inayotolewa nchini maana elimu ni msingi wa maendeleo ya Taifa au jamii husika. Tangu nchi hii tupate uhuru tumekua tukicheza sana hudhuma hii muhimu kwenye Taifa letu. Kila waziri anaepewa nafasi ya...
Ukiitazama dunia na vilivyomo! Unagundua mataba na madaraja ya kibinadamu ni chimbuko kuu la kiufundi!
Hata wakristu wanatuambia Mungu "aliumba"
Uumbaji ndiyo kazi pekee kubwa ya kwanza kuwepo duniani!
Hata Yesu alizaliwa na fundi selemala!
Ufundi ni kazi bora sana kuwepo na laiti hata hapa...
WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU
Na WyEST
DSM
# Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China
# Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya...
Rais Samia akishiriki Makabidhiano na uzunduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022
Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo, Burugo Kata ya Nyakato Bukoba ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi.
Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo;
Uchaguzi mzuri wa wachezaji.
1. Niliona mapungufu ya Quatara yakifanyiwa kazi. Na Kanute anakuwa mzuiaji wa chini kabisa. Anazuia mipira...
Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan...
Habari zenu waungwana,
Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA.
OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)!
Ofa hii...
UTANGULIZI
Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu)
Hapa Tanzania, elimu...
Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000.
Nilikua naomba kujuzwa na...
Habari!
Huu ni ushauri wangu wa mwisho kwa serikali.
Yaani namaanisha hapa nimetumia akili zangu zote kuwaza namna ya kuondoa ujinga na umaskini katika jamii.
Sasa % kubwa ya watoto wa darasa la saba wanajiunga kidato cha kwanza.
Wengi huishika kidato cha 4 kwasababu mbalimbali.
Miaka 4 ya...
Pamoja na kuchukua ubingwa msimu huu timu ya Yanga haina ufundi wa kumiliki mpira. Viungo wa Yanga haoneshi kabisaa uwezo mkubwa wa kumiliki mpira ili wawavute mabeki watoke golini , waende pembeni na kuachia vyumba ili wafungaji washambulie vema.
Vile vile jinsi beki inavyojipanga katika...
Hello Great Thinkers.
Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu.
Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania.
Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k
Vyuo hivi Ada yake iwe...
Habari zenu wakuu,
Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi.
Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
Habari Wadau!
Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa!
Mnano mwaka jana mwezi wa 9 nilifanikiwa kupata uzi hapa jf wenye ushauri juu ya biashara ya ufundi simu...
Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza.
Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.