ugali

UGALI
Ugali, also known as ugali bogobe pap, n'sima oshifima oruhere and nshima, is a type of maize or cassava flour porridge made in Africa.

It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kuon, gauli, gima, isitshwala, ubugali, umutsima, and other names.

Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

In 2017, the dish was added to the UNESCO Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity, one of a few foods in the list.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  2. G

    Kwahiyo Mbowe kumnunulia lissu kiti Moto na bia , mara akiwa musoma alinunua samaki na ugali wa mtama anamaanisha nini?

    Mbowe kaanza visingizio mapema. Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi? Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo? Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
  3. Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. 😩😩😩
  4. R

    Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

    Salaam, Shalom! Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula. Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano, Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali. NB: Ngano iwe brown wheat...
  5. Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

    Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?
  6. Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

    Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja...
  7. T

    Nimeamka saa 10 alfajiri na kusonga Ugali

    Jana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje!
  8. Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

    Wadau habari ya Jioni, kwani ugali una shida gani, mimi nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu. Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu. Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku...
  9. Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  10. U

    Nimekaribishwa nyama na ugali nimesita kula sina hakika ni nyama ya aina gani, nisaidieni ushauri nisije jitia unajisi

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekaribishwa ila nimesita nahofia unajisi Nipeni ushauri kwani mwenyeji wangu ananisubiri ninawe nianze kula Je hiyo unaweza kuwa nyama mnyama gani
  11. WACHINA NA UGALI?

    Habari. hivi mmewahi jiuliza kwanini wachina, wazungu, waarabu kwanini hawali ugali? Marekani inalima mahind sana ila hawali ugali ni chakula cha ngombe. Kuna uhusiano wa chakula alacho mtu na IQ? pia tupitie nakala ya kitabu changu https://selar.co/15z49j
  12. Kwa nini huwezi kula ugali bila Mboga?

    Wanajukwaa habari zenu! Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali? Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani? Kuna makundi makuu ya virutubisho ya vyakula: (1)wanga (2) protein (3) madini Chumvi (4) fibers/roughage (5) vitamins...
  13. M

    Nikule pilau kwani mi ni zubeida mluhya ni kukula ugali

    Otikiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
  14. Pre GE2025 Mchungaji Msigwa kuongea na Waandishi wa Habari baada ya kushindwa Uchaguzi wa Uenyekiti Kanda ya Nyasa

    Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika. Hizi habari ni za ndani sana kaeni tayari kwa mvurugano! PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi...
  15. U

    Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  16. Kuota unakula ugali na mboga za majani

    Inamaanisha nini? Niliota hivi karibuni! Katika ndoto hiyo, tulikuwa sehemu ambako chakula kilikuwa kinagawiwa kwa utaratibu wa "self service". Nilisimama kwenye foleni kama wenzangu kuelekea kwenye meza ya vyakula, na nilipofika, vyombo vikawa vimeisha. Ilinibidi mimi, pamoja na waliokuwa...
  17. Nape Nnauye akiwa anasonga ugali

  18. Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

    Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa ngano for bread na wameanza kupeleka mahindi na nafaka zingine ukiwepo mchele kitumbo, so kinachoweza...
  19. M

    Picha: wanaume wa Palestina wakisonga ugali.

    Mzuka wanajamvi.
  20. Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

    Bila salamu! Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta. Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…