Ukweli ni kwamba hali hairidhishi kijijini Msaranga wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na upungufu wa chakula
Anayelalamika hali iliyotawala, Pulceria Marandu, mkazi wa Kitongoji cha Kwasuva kijijini Msaranga, anatumia kauli: "Ukipika ugali, ukienda chooni au kutafuta sahani chumbani au...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Meru Arusha wamepigwa na butwaa kwa vitendo vya udokozi na wizi wa vitu mbambali pamoja na vyakula vya aina mbalimbali vilivyoiva au vibichi.
Kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kuibiwa hasa jikoni na kuibiwa vyakula kama ugali, ndizi, karoti na...
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali.
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema wanaume hao wawili walikuwa wakipata mlo wa jioni baada ya kutwa nzima...
Wakuu naombeni mnifundishe formula ya kupika ugali ,maana kila nikipika unakuwa mbichi
vipimo vikoje ratio ya unga na maji
mda wa kusubiri kwenye kila stage
NITASHUKURU
Siku 10 tangu Serikali ya Kenya kutangaza kushusha bei ya unga wa mahindi kuwa Ksh. 100 kutoka Ksh. 200 kwa kilogram 2, uhaba wa bidhaa hiyo umekuwa mkubwa katika maduka mengi.
Wauzaji wengi hawana unga na wale wachache wenye unga huo ambao zaidi unatumika kupikia Ugali wanauza kwa zaidi ya...
Habarini
Leo nataka kupika ugali mlisema unatiwa blubend na Nini? Naomba mnikumbushe.
Nawasilisha.
=====
Picha ya ugali kutoka maktaba
Soma maoni zaidi kuhusu kupika ugali: Jinsi ya kupika UGALI Fasta Fasta (Full Steps)
Maxence Melo amesisitiza suala la JamiiForums kutaka kujitanua na kuzifikia nchi nane za Afrika ili kuwapa watu wa nchi hizo huduma ambayo watanzania wamekuwa wakiipata pia kukuza Kiswahili.
Suala la umuhimu wa faragha ni suala alilozungumza kwa undani akitaja mfano wa watu kuandika majina...
Wakuu,
Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani.
Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake.
Yaani Mimi ndiyo Baba...
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea.
Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.
Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na...
Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali.
Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Aliangalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku.
Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa.
Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa...
Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina
Mtoto huyo aliporudi shule aliambiwa mwenzake (Jirani yao) ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia...
Wadau wenzangu wa JF & Watanzania wote
Naandika haya nikiongozwa kwa dhamira nzuri ya kueleza ukweli bila kuwa na nia ya kuwakera baadhi yenu
Sikusudii kupotosha, kukashfu, kudharau historia yetu, au makuzi yetu, au aina fulani ya chakula, kikundi fulani
kwenye jamii yetu n.k
Nazungumza...
Habari marafiki zangu wapendwa?
Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini nitajaribu kuzipika vizuri kama iwezekanavyo.
Shukrani
Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.