uganda

  1. Informer

    Uganda: Ministry urges schools to introduce swimming lessons to curb drowning deaths

    The Commissioner for Maritime Administration at the Ministry of Works and Transport, Mr Robert Ntambi, has urged schools across Uganda to integrate swimming lessons into their practical curricula to equip children with drowning survival skills from an early age, a life-saving skill he said is...
  2. n00b

    Uganda: Catholic bishop warns EC against political bias ahead of 2026 elections

    Bishop Robert K. Muhiirwa of the Fort Portal Catholic Diocese has called on Uganda's Electoral Commission to uphold its constitutional duty of organizing free and fair elections in 2026 without favoring any political party. Speaking during an Easter message at Virika Parish in Fort Portal City...
  3. B

    Uganda yapeleka askari mji mkuu wa juba South Sudan kunusuru mkataba wa amani

    12 March 2025 Kampala Picha : rais Salva Kiir na makamu wa kwanza wa rais Dr. Rick Machar Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Uganda jenerali Kainerugaba Muhoozi athibitisha askari wa vikosi maalum yaani makomando wa UPDF watua katika mji mkuu wa Juba South Sudan kufuatia tishio la kuzuka mapigano...
  4. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhalini leteni Mechi zenu Uwanja wa Namboole hapa Uganda kwani mnakubalika na msipeleke Amahoro Rwanda kwa Yanga SC wengi

    Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
  5. B

    Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  6. Stuxnet

    Ziara ya Lissu Uganda: Alimsifia Nyerere kwa 20% lakini alimdhalilisha pia kwa 80%

    Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera zake za kujali wanyonge na kuiishi falsafa ya binaadamu wote ni sawa kwa vitendo. Mtu kwenda...
  7. M

    Tundu Lissu akiwa Uganda amemsifia Mwalimu Nyerere lakini ni yeye ndiye aliyemtukana kwenye Bunge la Katiba

    Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere. Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere. Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Tundu Lissu Responding Stunningly on questions at Makerere University, Uganda.

    https://youtu.be/_sgUopSlStY?si=cYoU6pBTlApxiQZX
  9. Gabeji

    Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

    Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania. Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini...
  10. B

    Tundu Lissu Addressing on Humam Rights and Peace Centre Nchini Uganda, Makerere University. Wenyewe wasema Lissu ni Nyerere Wa Pili

    Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda. Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere. Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo...
  11. T

    SI KWELI Mahinyila amesema wao kama vijana hawataki fedha alizofuata Lissu Uganda

    Wakuu Lissu ameenda Uganda na nimeona hii Taarifa hapa je ina uhalisia wowote?
  12. B

    Kesi ya bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga, yatua mahakama ya Afrika ya mashariki EACJ

    Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
  13. Mkunazi Njiwa

    Ziara yaTundu Lissu Uganda inahusiana na utatu uliopo kati yao Bobi Wine na Robert Amsterdam?

    Robert Amsterdam naye ni wakili wa Bobi Wine.... Imenikumbusha kipindi kile cha kukaribia uchaguzi....zile NGO's ambazo zilitumiwa kupitisha fedha kutoka kwa wafadhili kwenda kwa CHADEMA....na wananchi tukaelezwa kuwa fedha zile zikawa "freezed". Je ni zama mpya na hatua mpya ?!! Trump ,Elon...
  14. T

    Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

    Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda. Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa Mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24,2025 kabla ya...
  15. MBOKA NA NGAI

    Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

    Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF. Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje...
  16. I

    Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

    Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba...
  17. Waufukweni

    Benki kuu Uganda yadukuliwa, bilioni 62 zaibiwa, maafisa 9 wizara ya fedha kikaangoni

    Polisi nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki kuu na kuiba kiasi cha shilingi bilioni 62 (Dola Milioni 16.87). Haya yanajiri baada ya wizi mkubwa kutokea Novemba mwaka jana, ambapo Waziri wa Fedha, Henry...
  18. Mr Chromium

    Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  19. chizcom

    Kuna maswali tata ambayo Rwanda na Uganda wapo kimikakati sana kwa tanzania.

    Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha. Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha...
  20. Waufukweni

    Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

    Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
Back
Top Bottom