Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani.
Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada, akifanya haya yote tunayoyashuhudia tulimuona kama mnyama asiyekuwa na utu hata kidogo lakini leo hii...
Wakuu,
Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno.
Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani Bulambuli jana Novemba 28, 2024.
"Kuna vifo vya watu 15 na tuna hofu kuwa bado kuna miili mingine mingi...
Wakuu katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video ambayo inasemekana kuwa ni ya Uganda na mwanamke mmoja anaonekana kumpiga kofi polisi, je kuna uhalia upi hapa wakuu?
Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi.
Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine?
Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6.
Kama mvivu kusoma...
Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda?
Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya...
Raia wawili wa Uganda wamewekwa kizuizini kwa madai ya kumtusi Rais Yoweri Museveni, mke wa rais Janet Museveni na mtoto wa rais Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye jukwaa la la TikTok.
Hakimu Stella Maris Amabilis amewaweka rumande David Ssengozi, 21, almaarufu Lucky Choice, na Isaiah...
Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023.
Uchafu huo, ulitokana na kurushwa kwa setilaiti ya SpaceX yenye makao yake nchini Marekani, iliyotawanyika katika wilaya...
Bukoba
Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili.
Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa na lengo la kujadiliana namna ya kuimarisha mpaka wa...
Uganda: Shirika liitwalo 'Media Focus on Africa Uganda' kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali ikiwemo JamiiForums limeandaa Tamasha la Uganda Media Week 2024 ili kuangazia mambo mbalimbali kuhusu hali ya Vyombo vya Habari na Habari kwa ujumla nchini humo.
Wadau mbalimbali wa Habari toka Nchini...
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina.
Harris alijifanya...
Bukoba
Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Uganda kimeanza mkoani Kagera nchini Tanzania kujadili uiamarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo.
Kikao hicho kinachofanyika katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeanza leo tarehe 5 Novemba 2024 na kutaratarajiwa...
Mradi wa pamoja wa mafuta kati ya Tanzania na Uganda, maarufu kama Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekumbwa na changamoto za kifedha. Mradi huu, unaotekelezwa kwa ushirikiano na kampuni za kimataifa TotalEnergies na China National Offshore Oil Corporation (CNOOC)...
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)
1. 🇧🇷 Brazil
2. 🇷🇺 Russia
3. 🇮🇳 India
4. 🇨🇳 China
5. 🇿🇦 South Africa
6. 🇦🇪 UAE
7. 🇮🇷 Iran
8. 🇪🇬 Egypt
9. 🇪🇹 Ethiopia
Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)
10. 🇩🇿 Algeria
11. 🇧🇾 Belarus
12. 🇧🇴 Bolivia
13.🇨🇺 Cuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.