Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao.
Wenzetu wamepekeka wanamichezo wengi sana ambao ndo wahusika hasa lakini sisi tunepeleka watu ambao...
Habari.
Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara.
Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
Amani iwe nanyi wanabodi!
Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR.
Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo.
Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
Wafanyabiashara katika jiji la Kampala wako kwenye mgomo wakipinga ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoingizwa na mfumo wa ukusanyaji ushuru, Mfumo wa Elektroniki wa Kutoa Risiti na Ankara (EFRIS), pamoja na malalamiko mengine.
Hata hivyo, kuna mkanganyiko miongoni mwa wafanyabiashara, na baadhi ya...
Binadamu by AY featuring Maurice Kirya
This is A.Y from Tanzania, Maurice Kirya and Hamdee from Uganda.
It’s a dedication to all African who living in poverty.
Verse 1
Usiombee mambo yaharibike.
Pesa usiishike, mfano wa mti upukutike.
Utaonekana si lolote si chochote.
Utaonekana...
Wadau Asalam aleykum.
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya.
Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
Museveni aanza mapambano dhidi ya Gen Z, japo sidhani kama wale wana uthubutu....
Ugandan police deployed heavily around Kampala City on Monday to forestall planned protests by the youth against corruption in government.
In what reflects methods used by their counterparts in Kenya, where the...
Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania.
Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii.
Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je, vyuo vya Tanzania elimu mbovu au Gharama au Vina masharti magumu?
Nasoma majibu
Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba...
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama...
Good morning Folks, I'm here in Dar es salam looking for anyone from those mentioned countries with EA, It would be better if i could get a lady, i have very important matter to discuss with her,
Please DM for more information
Kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kunaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuenea kwa ugonjwa huo nchini Uganda.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema monkeypox inaenea kupitia kujamiiana na aina nyingine za mawasiliano ya...
Wakuu vipi.
Majirani zetu Uganda wanamzuka sana na Electric Vehicles na Hybrids. Kuonesha mzuka wao, serikali ikaona itoe kodi (zero tariff) kwenye EV, E-Bikes na kupunguza kwenye hybrids kwa mwaka wa fedha 2023/24.
Huu msamaha ukapelekea gari za EV zilizoingizwa UG kwa mwaka 2023/24 kufika...
Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi.
Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor)
Wiki hii...
kuna kila dalili mikoba ya uongozi wa juu wa chama na serikali ya Taifa la Uganda kukabidhiwa kwa Gen.Muhozi kainerugaba, mtoto wa Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni..
malezi na makuzi yake, karibu maisha yake yote, amekulia kwenye korido za ikulu, jeshini na wakati fulani uraiani...
ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida.
Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha zako mwenyewe.
Kwenye upande wa kudhibiti matumizi na kuhakikisha hakuna ukwepaji wa kodi, upotevi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.