Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa.
Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga?
2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi?
3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni.
Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
-Baba (Yoweri Museveni) ni Rais
-Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu
-Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF
Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la...
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na viwango vya kipato vya wananchi wake.
Bibi Susan Ngongi Namondo, mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini...
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya...
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda.
Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists:
https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari. Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu.
============
KAMPALA, March 18 (Xinhua) - The Ugandan military on Monday urged the public to be on alert after...
Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika kuhamasisha ushoga nchini humo.
Nakumbuka Uganda imezuia mahusiano ya jinsia moja na Rais Museveni...
Salaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari...
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%.
Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8
Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu.
Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
By Kabakura Jean Bosco Ceusi
Orgasm is the peak of sexual arousal, which culminates into ejaculation in men. Therefore, men or even their sexual partners may be aware it has happened. Only a few women ejaculate fluid at orgasm with yet a few others getting intense feelings of sexual release...
Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu za Kenya, Uganda na Tanzania kuhusu hali ya Madeni ya Taifa kwa Nchi hizo, inaonesha madeni kwa pamoja yamefikia takriban Tsh. Trilioni 339.93. Kenya inaongoza ikiwa na deni la Tsh. Trilioni 176.81 huku utawala wa Rais William Ruto ukitajwa kuchangia deni la...
Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi.
Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo.
Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi?
JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu.
Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi
Nawasilisha
Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina.
Maelfu ya Waganda na...
Yeye hakuunga mkono upande wowote, alisimamia ukweli na kusema tatizo la pale Palestina ni la kihistoria na linapaswa kutatuliwa kidiplomasia, kasema kesi za kisiasa haziwezi kutatua lile tatizo.
Na ndio ukweli wenyewe maana hata hiyo ICJ ilishindwa kusema chochote zaidi ya kuomba Israel iwe...
Uganda imeanzisha mashauriano na Tanzania kuruhusu Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda kuuza na kushughulikia uagizaji wa mafuta.
Hatua hii inafuatia kukataliwa kwa leseni ya Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda (UNOC) kufanya kazi kama muuzaji wa mafuta wa ndani.
Waziri wa Nishati na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.