Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka. Tukizitwaa, DRC itasaidia kutoa ardhi kwa viinchi visivyo na ardhi ya kutosha kama Burundi, Rwanda, na...
Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano mana si muungwana kabisa. hatoseki na alichonacho.
Kama ningekua na maamuzi, ningeitoa Tanania...
Hii inaniuma sana
Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe..
Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache
Uuzi tayari
Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe.
ANGALIZO
Hili ni Jukwaa la CHATS and...
Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda.
Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa yake, kama siyo kwa ndege, basi atalazimika kuitumia bandari ya Tanzania au ya Kenya.
Pamoja na...
Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka.
Katika ripoti ya sasisho la hali iliyotolewa siku ya Jumatatu, Wizara ya Afya ya Uganda ilisema angalau maambukizo...
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa
Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso
Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe
Zawadi ya million 100 timu...
Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia.
Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei...
Mamlaka za Magereza zimesema kama sehemu ya hatua za kuzuia “uwezekano wa uvunjifu wa usalama”, wafungwa/ mahabusu hawataruhusiwa kupokea wageni kwa siku 7, kuanzia usiku wa Krismasi
Msemaji wa Huduma za Magereza Uganda, Frank Baine Mayanja, amesema “Krismasi inaleta furaha na wafungwa wengi...
List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha
Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako
Piga/WhatsApp: +255-657-685-268
Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
Salaam Wakuu,
Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao.
"Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20.
The World Health Organisation (WHO) country office has said Mpox cases in Uganda have surpassed 800, an increase from a...
Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda.
Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha miundombinu ya uzalishaji wa mafuta katika maeneo ya Ziwa Albert, magharibi mwa Uganda.
Tukio hilo...
https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA
JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka huu wa 2024 Kongamano hilo linaangazia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kama nyenzo muhimu katika ukuaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.