Mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku ya Jumatano iliwahukumu wanachama 16 wa chama cha upinzani kifungo cha miaka mitano jela kwa kupatikana na vilipuzi kinyume cha sheria na mashtaka ya “uhaini”, wakili wao alisema.
Timu ya utetezi inazingatia kukata rufaa, ikisema washtakiwa walikuwa...
Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.
Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.
Anyways karibuni sana 🇹🇿.
Kwa sasa ndie Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, mtoto wa kiume wa Jenerali Museveni. Mipango ikikamilika basi CDF Kainerugaba ataungana na Marais wenzake kuendelea Kula keki hapo Afrika Mashariki
Ukiangalia yanayoendelea uganda kupitia mtoto wa museven Muhoozi Kainerugaba ambaye ni CDF ni uwezekano wa uganda kuwa kama zimbabwe kwanini nasema hivi
Majuzi ubalozi wa marekani ulitoa tamko juu ya museven kutaka kugombea tena ikimsihi asigombee tena, mtoto wake Muhoozi Kainerugaba akaibuka...
Hii sasa ni ajabu ya Karne;
Ina maana kuna waganda wanatumia zaidi ya miezi 6 kabla ya kukutana kimwili baada ya kuoana? Sasa kwa muda huo huwa wanafanya nini?
Mzee wetu gentamycin huko Uganda kazi anayo.
Wanaojua lugha fuatilia wenyewe
---
A Ugandan Member of Parliament has tabled a Bill that...
Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia,
Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza .
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
C&P
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo.
Kupitia akaunti yake...
My Take
Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa...
Rwanda wanampango mpaka 2026 wawe wanafua umeme kupitia nyuklia, Uganda pia wanampango mpaka mwaka 2040 wawe wana uwezo wa kuzalisha umeme kupitia nyuklia, Kenya wao ni mpaka 2035. Sisi tumejipanga vipi?
Ukweli ni kwamba umeme wa nyuklia huwa ni bei rahisi sana kuuendesha na pia unatoa umeme...
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...
Jana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi...
Game On...
Uganda on lead
14'
Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza.
HT
1-0
=================
Kipindi cha pili.
45'
Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda.
51'
Goooooooooooal Uganda wanazawasisha hapa kupitia D. Omedi anapiga shuti zito nje ya 18.
Chuma cha kwanza kwa...
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian).
2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO...
Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza...
Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi wameeleza kwa BBC. Msemaji wa polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo, Ddamulira Godfrey...
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri...
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia.
Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
Shirika la Mafuta la Uganda (UNOC) limetangaza kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam katika kupakia bidhaa hiyo kwa ajili ya kupeleka nchini kwao.
Awali UNOC ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa nchini Kenya katika kuchukua bidhaa hizo huku ikisafirisha kwa kutumia Shirika la Bomba la Kenya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BIteko leo tarehe 15 Agosti, 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la kuuziana umeme na kuimarisha mifumo ya Gridi ya EAPP (Eastern Africa Power Pool) unaofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.