Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF.
Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje...