Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo.
Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni.
Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
Amani iwe nanyi
Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na mabeberu kutokana na misimamo yake. Idd Amin alikuwa ni rais mwenye misimamo na uchungu na nchi yake ya...
Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala.
Julai...
Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious.
Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye...
Kampuni za mtandaoni na wanaharakati 12 wameungana katika kesi wakidai Sheria hiyo inaminya uhuru na haki za matumizi ya mitandao na itatumika kuwanyamazisha wakosoaji wa Serikali.
Wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kukomesha matumizi mabaya mtandaoni na kulinda haki ya faragha.
Adhabu za...
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.
Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo.
Uganda inakabiliwa na Kirusi cha Sudan wakati chanjo zilizoingizwa nchini humo zilikuwa za Kirusi cha Zaire. Mkurugenzi Mkuu...
Vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani hapa, vimewakamata raia wawili wa Uganda walioingia kwa kutumia usafiri wa jahazi katika Bandari ya Wete ambapo wamewekwa karantini maambikizi ya Ugonjwa wa Ebola.
Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama MKoa wa Kaskazini Pemba imefika katika Bandari ya Wete...
Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika.
Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali.
Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ?
Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo.
Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti.
Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi.
"Muuguzi huyo...
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa.
Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15.
Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
Serikali imesema itajikita katika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na mlipuko wa Ebola badala ya kufunga mipaka mkoani Kagera.
Hayo yalielezwa juzi na mkurugenzi msaidizi kitengo cha elimu ya afya kwa umma, Dk Ama Kasangala katika kikao na wadau wa afya mjini Bukoba, kilicholenga...
According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya
Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu
Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022.
Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu.
Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.