uganda

  1. bahati93

    Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  2. Carlos The Jackal

    Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  3. BARD AI

    Ripoti SIPRI: Uganda iliongoza kwa kuingiza Silaha za Kivita mwaka 2022, Ukraine ni ya 3 Duniani kwa kupokea Silaha

    Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), imeinesha Nchi 5 tu (Marekani, Russia, Ufaransa, China na Ujerumani) zimechangia 76% ya Usambazaji wa Silaha za Kivita duniani. Kwa mujibu wa SIPRI, kati ya mwaka 2018 hadi 2022 Mataifa ya Kusini mwa Jangwa La Sahara...
  4. Mr mutuu

    USHAURI: Kuna haja ya kuweka sheria kali za ushoga kama Uganda kunusuru vizazi vyetu

    Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Rais Museveni akamata mashoga 490

  6. BARD AI

    Uganda yasaini Mkataba na China kujenga Kinu cha kwanza cha Nyuklia

    Serikali imetia saini Mkataba na Shirika la Kitaifa la Nyuklia la China (CNNC) ambalo litasaidia kujenga uwezo katika matumizi ya Nishati ya atomiki kwa malengo ya amani. Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa Ssentamu, Nchi hiyo inatarajia kupata Megawati (MW) 1,000 kutoka...
  7. Analogia Malenga

    Unakumbuka kazi za hawa wakulungwa wa Uganda

    UGANDA CENTRAL ( +256) Hili lilikuwa jina la kipindi cha ngoma za Uganda pale East Africa Radio miaka hiyo (sijajua kama bado kipo maana sisikilizi tena redio). Umewahi kusikiliza muziki wa Uganda? Ulivutiwa na kazi za nani? Wimbo gani unaukumbuka mpaka leo? Binafsi nawakumbuka wafuatao na kazi...
  8. BARD AI

    Rais Museveni asema Wananchi wake ni wavivu sana, hata mtu mjinga anaweza kuishi Uganda

    Akizungumza mbele ya Rais Cyril Ramaphosa na Jumuiya ya Wafanyabaishara, Rais Yoweri Museveni amesema Uganda ina mazingira rafiki kiasi cha kutohitaji watu kufanya kazi kwa nguvu ili kufanikiwa. Museveni ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 37 amesema "Sisi tupo eneo la Ikweta, tuna...
  9. GENTAMYCINE

    Wabunge wa Uganda wanataka Kuamua Mashoga Wafungwe Maisha au Wanyongwe kabisa, nasubiria kusikia Wabunge wa Tanzania nao Wataamua vipi

    Ombi langu kama Wabunge wa Tanzania nao wakiamua kama Wenzao wa Uganda ikitokea wenye Jukumu la Kunyonga Mashoga wakikosekana wasisite Kuwasiliana nami kwani naweza kutoa Kwao Ushirikiano Uliotukuka hadi Serikali ya Tanzania ikafikiria Kuniajiri moja kwa moja kuwa Msaidizi wa Israeli Msitisha...
  10. B

    Nini kifanyike Simba kushinda dhidi ya Vipers?

    Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
  11. mdukuzi

    Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  12. Kaka yake shetani

    Tuseme ukweli Uganda na hasa Kenya kuna maeneo yamesahulika kabisa

    Tuanze na Kenya maana huko ndo kunatisha kabisa.Kenya imeweza kufika mbali kimaendeleo kwenye mambo mengi ila cha kuchekesha maendeleo hayo yapo sehemu chache sana. Kuna sehemu kaunti za Kenya hata waziri wa mambo ya ndani ajui kinachoendelea kufikia vikundi vinamiliki silaha za kisasa...
  13. Influenza

    Uganda yasitisha shughuli za Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini humo

    Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
  14. TODAYS

    Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  15. JanguKamaJangu

    Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  16. Lady Whistledown

    Uganda: Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa kwa kuandamana, waachiwa huru

    Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru Mashabiki hao waliokuwa wamebeba Kombe la 'Mfano' walikamatwa baada ya Polisi kudai kuwa hawakuwa na kibali...
  17. Moronight walker

    General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

    Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye. Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena. Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
  18. M

    Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe. Asante sana.
  19. BARD AI

    Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  20. Lady Whistledown

    Uganda: Rais apiga marufuku safari za nje kwa Wabunge na Watumishi wa Umma kunusuru uchumi

    Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu...
Back
Top Bottom