Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu.
Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia.
Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea vifo vya Waganda lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu shambulio hilo dhidi ya wanajeshi hao...
Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin!
Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi.
Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii
Waabheja sana bhabhaa
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani ili wenye Demokrasia watawale...
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.
Hivi mama...
Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar:
Ila si Uganda:
Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto
Wala Kenya:
New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu schools
Huko kote kumethibitishwa uwepo wa wimbi jipya, ila siyo kwa wale vichwa ngumu, wana maombi...
My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo.
--
President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT.
"President Museveni has executed his...
Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ.
Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amepokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia pamoja na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei...
Habari wakuu,
Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda.
Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo.
Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia.
Asante.
Kenya to build 3 more ships for Uganda fuel
Kenya plans to build three more ships to enhance the export of oil products to Uganda through Lake Victoria.
Energy and Petroleum Cabinet Secretary Davis Chirchir said this would ensure daily trips from the current weekly voyages to the...
Uganda has announced the start of construction of the Standard Gauge Railway (SGR) in August, in a decision that revives hope for the extension of Kenya’s Sh327 billion project whose viability was dependent on the Ugandan section.
Uganda says it has secured funds from the Standard Chartered...
Ethiopia has toppled Tanzania and Uganda as the leading destination of Kenya’s investment abroad, buoyed by the expansion of local firms in the giant neighbouring market.
Fresh data shows that Kenya’s direct investment in Ethiopia hit Ksh60.2 billion ($440.7 million) in 2021—surpassing Tanzania...
Jumla ya Askari Polisi 10 wamekamatwa Jijini Kampala baada ya watuhumiwa wa wizi waliokamatwa na askari hao kudai kuwa kiasi cha pesa kilichotangawa kuwa kimerejeshwa hakifiki hata nusu ya nusu ya walichoiba wao.
Inadaiwa kuwa wezi hao waliiba Dola 110,000 (Tsh. Milioni 258.1) na Euro 700 (Tsh...
Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala
Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua
Sababu ya mauaji hayo bado...
President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be amended.
Museveni’s decision was announced late on Thursday after a meeting of parliamentarians in his...
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.
Sote tunajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.