Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent: Britain’s Got Talent ilirejea kwa msimu wake wa 16 siku ya Jumamosi ambapo kundi la densi la Uganda - GhettoKids - lilipata tuzo ya Golden Buzzer.
BritainsGotTalent ni shindano la vipaji...
General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe...
Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho.
"Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au faini. Mswada huo umepingwa vikali na nchi za Magharibi zinazoongozwa na Marekani, na Marekani kwa...
Wananchi nchini Uganda sasa wameamua kuwasaka mashoga popote wanapopatikana na kuwashushia kichapo kikali mno, tabia za kishoga na mashoga zamani tulizisikia Mombasa, Zanzibar kutokana na shughuli za kitalii na muingiliano wa mila na tamaduni za kigeni, lakini hivi sasa ushoga upo kila mahali na...
Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.
Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?
Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?
Ramadan kareem!
Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu"
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike.
====
Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili...
Majira ya Saa 2:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani Benjamin Mkapa kuwaalika Uganda (The Cranes) katika mchezo wa nne wa kundi F kuelekea kufuzu Afcon mwaka 2023..
Taifa Stars yenye point 4 iliyopo nafasi ya pili nyuma ya vinara...
Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji.
Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu.
Hapa, Uganda tayari wanajizatiti kwa mazoezi mazito mazito kungali asubuhi:
Sijui makwetu jikoni au kule...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27. 2023).
Waziri Mkuu amesema hayo wakati akihutubia katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari...
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya motisha ili kuhakikisha timu yetu ya taifa inafanya vizuri katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa na Uganda siku ya jumanne tarehe machi...
Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima.
======
Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
Kweli Duniani Kuna Mambo!
Wikiendi Muswano mwanaJF.
Kila siku unatafuta njia, fulsa ili ujikwamue kutokana na msongo wa mawazo kimaisha, hapo ulipo kuna fulsa ila hujaiona au hujui namna ya kuitumia au hata kwenda ulaya, raia wa Uganda wamepata fulsa ya bure kabisa, lakini!
☝🏾Picha haina...
Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la Uganda.
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena.
Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5!
Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
Picha: Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda.
Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
Muswada huo unawagusa wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja au kubadili jinsia, utaanza kufanyakazi baada ya kusainiwa na Rais Yoweri Museveni.
Muswada huo unabainisha kuwa marafiki, ndugu wa familia na wanajamii husika watawajibika kutoa taarifa kwenye mamlaka kuhusu yeyote...
Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).
Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita kwenye timu ya Taifa mchezaji ambaye ameshindwa kutimiza matakwa ya mkataba kwenye Klabu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.