Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu.
Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment...
Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali
Sherehe...
My Take
Rwanda tayari,Uganda tayari.
---
The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday.
President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop.
In line...
Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka?
Je, Kenya imejiridhisha juu ya
Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
Hii ni kitu gani?
---
I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and...
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.
"Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
Kitabu hiki kinatafutwa haraka wakuu, mwenye nacho afanye kuattach hapo chini.
Combatants: A Memoir of the Bush War and the Press in Uganda.
Mwandishi William Pike
Natanguliza shukrani
Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa wanaokula mnyama waliyemuua.
Inasemekana baada ya kuwapita Simba, pikipiki yake ilipata hitilafu ambapo...
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa.
"Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za unyanyasaji; vijana wetu wanakabiliwa na ponografia. Katika nchi za Kiislamu, ponografia imezuiwa. Niambie ni...
Shirika la ndege la Uganda limeripoti kuongeza mapato kwa kuingiza zaidi ya Dola 67,137 kutokana na kusafirisha maiti za raia wa Uganda kurejea nyumbani tangu kuanza kwa safari zake takriban miaka miwili iliyopita.
Kwa mujibu wa Meneja wa Mizigo wa Shirika la Ndege la Uganda Bw Morris Ongwech...
Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili.
Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Huko nchini Uganda kimeuma sawasawa. Ndivyo unavyoweza kusema. Mashirika mbalimbali ya habari yakiwemo BBC na DW yameripoti kwamba kasi ya upimaji wa DNA kwa wanandoa wa kiume umepamba moto kwa siku za hivi karibuni na...
Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15.
Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
Mauaji hayo yametokea katika Mji wa Mpondwe uliopo Magharibu mwa Uganda ambapo pia watu sita wametekwa nyara na wanamgambo wa vikundi vya waasi wanaodaiwa kufanya shambulizi hilo.
Shambulii hilo limetokea katika Shule ya Sekondari ya Lhubirira ambapo baadhi ya waliouawa wamekatwakatwa kwa...
Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa nyara
Meya wa Mpondwe, Selevest Mapoze, amesema wengi wa waliouawa ni Wanafunzi, huku kukiwa...
Wagwan.
Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023.
Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi ya Trillion 57 za Uganda ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 36 za Tanzania.
Zuri lililonivutia...
Inadaiwa kuwa mchungaji wao aliwaambia kwamba wangekutana na Yesu Kristo baada ya kufunga kwa siku 40.
Operesheni ya pamoja ya polisi sasa inaongoza msako wa kiongozi wa kikundi hicho, Simon Opolot.
Inasemekana kuwa wanachama 80 wa Kanisa la Wanafunzi wa Kristo waliacha mali zao zote mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.