Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo.
Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura.
Anachukua nafasi hiyo kutoka kwa Anita Among aliyejiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya kukabiliwa na mashtaka ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.