uganda

  1. PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  2. Uganda Kurusha Satellite yake ya kwanza Oktoba, 2022

    The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather. The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National Aeronautics and Space Administration (NASA), was initially scheduled for September 28. But in an...
  3. Uganda imeanza kuilipa DRC fidia kutokana na uvamizi wa miaka 20 iliyopita

    Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemkorasia ya Kongo anasema Uganda imeanza kuilipa Kinshasa fidia ya dola milioni 65 kati ya 325 kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Sheria ya Kimataifa ICJ. Kulingana na maafisa wa serikali mjini Kinshasa waliozungumza Jumamosi, ni kwamba waziri wa sheria Rose...
  4. Waziri Mkuu atengua uamuzi wa Bunge, tamasha la Nyege Nyege Kufanyika Uganda, Jinja

    Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja. Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee. Wabongo wamo...
  5. Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  6. Tanzania tumepigika tena, safari hii 3-0, Uganda haooooo wamefuzu CHAN 2023

    Safari ya timu ya taifa ya Tanzania kufuzu kucheza Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) imefikia tamati baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Uganda, leo Jumamosi Septemba 3, 2022. Kwa matokeo ya mechi hiyo iliyochezwa Uganda, Tanzania imetolewa kwa jumla ya...
  7. M

    Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  8. Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  9. L

    Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

    Niko nacheki kipute hapa live. Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote. Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa. Kwa uchezaji huu, kushinda...
  10. Historia ambayo wengi hawaifahamu kuhusu Chuo Kikuu cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago nchini Uganda

    Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi historia ya chuo kikuu Cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago iliyopo nchini Uganda” Faraja Gasto...
  11. Askari wanne washtakiwa kwa kumkamata Bi Harusi kwenye sherehe

    Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi. Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred Enanga, Askari hao hao wamefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu, na endapo watakutwa na hatia jeshi...
  12. Raia wa Uganda afungwa miaka mitano Marekani kwa ujangili

    Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo. Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani...
  13. N

    Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  14. Kenya 2022 Ushindi wa Ruto, Uganda yalipuka kwa shangwe, hii maana yake ni nini?

    Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi. Ugandans are Kenyans are brothers. Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language. Its the reason you find Kenyan and Ugandan athletes having the same names. The same way the Luos where...
  15. Mechi ya Tanzania na Uganda inachezwa Lini?

    Mimi ni mzalaendo wa michezo Tanzania, nataka nijue siku ya hii mechi muhimu. Karibuni
  16. Kenya 2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  17. B

    Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
  18. Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
  19. Uganda sasa wanazalisha mafuta ya maparachichi. Je, Tanzania tunakwama wapi?

    Ukiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana. Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi) Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala
  20. Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

    Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa. Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…