Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo tunajidanganya na kujipa Moyo huku tukihimizana kwenda Uwanjani kuwa tutashinda kwa Kumfunga Algeria...
Mhe.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akipokea tuzo aliyozawadiwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Pan African Women Organization (PAWO) kwa kutambua mchango wake katika Uongozi na maendeleo ya jamii tangu aingie madarakani mwezi March 2021.
Waziri wa...
Umoja wa Wauguzi na Wakunga wa Uganda (UNMU) umetangaza kuanza mgomo kuanzia leo Mei 26, 2022 kutokana na malipo duni, ikiwa na maana wanaungana na wataalam wa afya wengine walioanzisha mgomo tangu Mei 16, 2022.
Rais wa UNMU, Justus Cherop Kiplangat amesema amefikia maamuzi hayo kutokana na...
Waziri wa Uganda akinukuliwa
"Ikiwa hutumii akili alizokupa Mwenyezi Mungu, usimlaumu unaposalia kuwa maskini. Jitahidi kuushinda umaskini kwa sababu kuwa tajiri ni utukufu,"
Gazeti la New Vision la Uganda linamnukuu kiongozi mmoja mkuu nchini Uganda akisema kuwa
"maskini hawataenda mbinguni...
Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje.
Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya Uganda (UTB), Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Waendesha Utalii wa Kenya Fred Kaigua amesema jijini...
Police arrest political activist, Dr Kizza Besigye after he tried to leave his home on May 23, 2022.
Uganda police have arrested political activist and former presidential contender Kizza Besigye as he attempted to leave his home in Kasangati, Wakiso District.
He is currently detained in a...
Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga.
Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
Angalau hawa Waganda hawana unafiki wanakubali wazi kwamba Kenya ipo mbele yao. Huyu jamaa anasema kwamba hata towns ndogo ndogo kama Kitale bado zimeendelea sana. Alikuja Kenya kwa sababu ya harusi pale ambapo Mganda alimuoa Mkenya.
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
Hii itufunze kuwa ni muhimu kufinance vitu vyetu. Bomba la mafuta bado linakumbana na upinzani mkali kwa wanaharakati wenye maslahi yao wenyewe.
Wazee wetu walikatwa mikono kwa kufua chuma, the story continues
Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu.
Rais Samia Suluhu, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku mbili Nchini Uganda alikubaliana na mwenyeji wake Rais Yoweri...
Tetesi: - Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO
Niliwahi kuandika huu uzi miaka ya 2020. Watu wakanibeza na kufikiri natania ila nataka mjuwe yajayo yanafurahisha kama nilivyokwisha sema Wamarekani wanatupa adhabu ya kimya kimya bilabkupiga...
Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema.
Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba
Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda
Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’.
Benki kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali, na haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao “cryptocurrencies” lakini ina...
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala.
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa...
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.