Nathan Okori ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah amesema Mtoto wake (Spika Jacob) alipewa sumu ambayo ndio imesababisha kifo chake.
Mzee Okori ametoa kauli hiyo leo wakati wa shughuli za mazishi ya Spika Jacob.
"Sitaki niomboleze na kulia kwa ndani tu...
Ni pongezi kubwa kwa EAC kukalibisha congo kuingia kwenye EAC ila bado kitendawili ambacho DRC kutaka kifumbuliwe ni kuhusu vikundi vilivyomo ndani ya nchi yake.
Je, EAC itakubali kuyajadili haya ukiachana na uchumi na mambo mengine.
• On the day that DRC formally joined the EAC, thousands...
For years Uganda has experienced impunity in her politics since independence to now as many know a leader who ceases power by a coup is not a leader and we have seen so many ruthless counters on opposition leaders.
A Mobius Model II car in Nairobi in 2019. PHOTO | NMG
Kenya’s only home-grown automaker, Mobius Motors, plans to ramp up production of its second-generation model with an eye on the regional market including Uganda and Tanzania.
The automaker, which in 2014 pioneered the production of a...
Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo.
Kenya katika ukanda huu wa maziwa makuu imekuwa ikitumiwa sana na washirika wa magharibi na kampuni nyingi binafsi katika...
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
Rais Museven kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametangaza kifo cha Spika wa Bunge wa Uganda Jacob Oulanyah. Museven anaeleza kuwa kifo hicho kimetokea leo majira ya saa 4:30 asubuhi kwa Ukanda wa Afrika Mashariki.
Taarifa zinaeleza kuwa Jacob Oulanyah alikuwa nchini Marekani kwa...
Wadau mimi nilijua kwamba asilimia 20 ya mizigo ya Uganda hupitia Dar es Salaam port sasa leo nimepigwa na butwaa kusoma maneno aliyosema mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio hupitia Dar es Salaam port. Hio ina maana kwamba asilimia 98 ya...
Hello Banzukulu,
I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics.
Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
Shangwe limeibuka kwa wakazi wa Rwanda na Uganda baada ya mpaka Gatuna unaotenganisha nchi hizo, kufunguliwa rasmi leo Jumatatu.
Mpaka huo uliopo wilaya ya Gicumbi ulifungwa mwaka 2019 kutokana na maelewano mabovu baina ya nchi hizo mbili ambazo ni majirani...
A Ugandan novelist charged with insulting President Yoweri Museveni has taken the government to court over his alleged torture by soldiers.
Kakwenza Rukirabashaija was arrested in December after posting tweets insulting Mr Museveni and his son Muhoozi Kainerugaba. He denied the charges.
He...
Picha: Richard Michael Nataka
Mahakama ya Kupambana na Ufisadi Kampala, Uganda imemhukumu Richard Michael Nataka, aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Uganda (URCS) kifungo cha miaka 7 jela kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh 1 bilioni.
Mahakama hiyo, ilimpatia Nataka adhabu hiyo...
Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula.
Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu.
Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine...
Takwimu zinaonyesha nchi yenye gesi nyingi duniani ni Urusi na ya pili Iran. Msumbiji ni ya 14 duniani na tanzania ni ya 82. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Rwanda na Uganda wana reserve kubwa ya gesi kuliko sisi.
Rais wa Uganda amekaribisha mpango mpya wa maendeleo wa China katika bara la Afrika ambapo Uganda ni miongoni mwa nchi zilizopangwa kunufaika nao
Rais huyo, ambaye alikutana na ujumbe wa China katika Ikulu Ijumaa, alitaja maeneo mawili muhimu ya Uganda ambayo ni kutokomeza umaskini na kuhamisha...
Habari zenu wakuu.
Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu.
Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
Video ya Vladmir Putin akihojiwa na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya magharibi inatembea mitandaoni. Putin anajitahidi sana kujenga hoja za kujibu maswali lakini kama kawaida yake anarudia makosa yale yale ya miaka yote. Putin aidha hana team nzuri ya Diplomasia au anaogopwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.