uganda

  1. Frumence M Kyauke

    Bobi Wine alaani Jeshi la polisi nchini Uganda kwa kujaribu kumzuia kwenda katika uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ametuma picha ya polisi na jeshi wakionekana nje ya nyumba yake kabla ya kampeni za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika wilaya ya Kayunga. Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kutembelea katika wilaya ya Kayunga...
  2. luangalila

    Trade dispute: Uganda considers ban on Kenyan products

    Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda. Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri wa ufanyaji biashara pamoja. ==== December 14, 2021 Uganda is considering restricting some of...
  3. The Sunk Cost Fallacy

    Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
  4. MK254

    Viongozi wetu waliogomea suala la kuunganisha Tanzania, Uganda na Kenya waliona mbali

    Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar...
  5. MK254

    Kenya has doubled its capacity to handle transit petroleum products to Uganda, Rwanda

    Completion of the new Kipevu Oil Terminal in Mombasa will see Kenya double its capacity to handle transit petroleum products to Uganda, Rwanda and Burundi starting January 2022 from the current 35,000 tonnes. The $385 million terminal can handle up to four vessels at a time compared with the...
  6. mulwanaka

    Kwanini Rwanda na Uganda hupendelea kupeleka wanajeshi wao Congo?

    Bunge la uganda limeanza kuhoji kwanini Museveni kapeleka wana Jeshi wa Uganda UPDF Congo kwa kisingizio cha kutafuta wa asi wa ADF bila ruhsa ya Bunge. Wabunge wengi wana hofia huenda Jeshi la uganda li kapishana na la Rwanda ambao tayari liko Congo kwa miaka kadhaa, na wakapingana vita ambao...
  7. G

    There is no free lunch. Why has Yoweri Museveni built a school for Tanzanians?

    The President of Uganda, Yoweri Museveni must be buying something out of this generosity to Tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (Madam President Samia Suluhu Hassan) so that can get what he wants. There are so many villages in Uganda which have either poor or no school...
  8. Z

    Sukari ya Uganda sawa, korosho zetu vipi? Kwahiyo jibu la waziri lilikuwa nonsense!

    Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya Wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao...
  9. The Garang

    Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  10. J

    Balozi Ami Mpungwe: Tanzania bado inanunua sukari Uganda, Rais Museveni hakumpa taarifa sahihi Rais Samia

    Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu. Hata Bakhresa ambaye kiwanda chake badi kinajengwa huko Sadani...
  11. Analogia Malenga

    Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  12. Sam Gidori

    Uganda Airways kuongeza Senene katika orodha ya vyakula ndani ya ndege baada ya video ya mchuuzi kusambaa mitandaoni

    Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
  13. Crocodiletooth

    Naomba kujuzwa mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa EA hatutaweza kuyamudu?

    Nilikuwa natafakari tu binafsi je Mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa afrika ya mashariki na kati na pengine kusini yatatuzidi Kwa wingi kimatumizi?endapo tutaamua tuwe tunanunulia Uganda Mafuta yetu badala ya huko ughaibuni.
  14. MK254

    US pizza chain Papa John's to open 60 outlets in Kenya and Uganda

    The third-largest pizza delivery restaurant in the world Papa John's International Inc's plans to open 60 fast food outlets in Kenya and Uganda from next year, it announced Tuesday. The American Louisville, Kentucky - based pizza chain said it will open the outlets in a partnership deal with...
  15. badison

    Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

    Kwa huzuni kubwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola kilioni 207 na kupelekea kutaifishwa uwanja wao wa ndege walioweka bondi. Iwanja wa Entebe sio mali ya Ugamda tena. Wachina wawetwaa uwanja wa ndege wa Uganda hii ni wazi watu weusi uwezo wetu ni mdogo sana. Walianza...
  16. Analogia Malenga

    Uganda yakamata washukiwa wa ugaidi huku wengine 7 wakiuawa

    Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi. Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na washukiwa watatu wa mabomu ya kujitoa muhanga katika mji mkuu Kampala wiki iliyopita, kwa mujibu wa...
  17. Meneja Wa Makampuni

    The Uganda Kabaale Industrial Park

    The Uganda Kabaale Industrial Park The KIP is a petro-based industrial park to be developed on 29.57 Km2 of land, in Kabaale, Buseruka Sub-county, Hoima District. UNOC to hold 51% shareholding KIP will accommodate several facilities and amenities: 1 Oil Refinery 2 Crude Oil Export Hub 3...
  18. sinza pazuri

    Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

    Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower. Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
  19. Kitambi chakufutia tachi

    Taddeo Lwanga atwaa tuzo Uganda

    Mchezaji Taddeo Lwanga amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Uganda na kujinyakulia tuzo ambayo inayotolewa na Football256. Lwanga ametwaa tuzo hiyo akiwapiku wapinzani wake wa karibu Eric Kambale (Express) na Yunus Sentamu (Vipers) ====== Simba SC and Uganda Cranes midfielder Taddeo Lwanga has...
  20. M

    Mashambulio ya Magaidi nchini Uganda, Tanzania tuna la kujifunza

    Salaam wanajamvi, Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei...
Back
Top Bottom