Nilikuwa kijana sasa ni mzee. Miaka hiyo nafanya kazi kwa kijana mwenzangu ambaye Mungu alimbariki na kumuinua sana kiuchumi kwa nyakati hizo. Ni kati ya Waafrika wa mwanzo kumiliki SCANIA 111 na 81.
Basi mimi akanikabidhi SCANIA 81 kwa roho safi (mtama kwa watoto). Nyakati hizo kazi ya lori...
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.
2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.
3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.
4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
Ukikutana na hiyo changamoto utapaswa kuchukua hatua gani?
1. Utaitaarifu kwanza ofisi ya ubalozi wako?
2. Utaripoti kituo cha Polisi cha nchi uliyopo?
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake
Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi ninayotoa na mimi ninufaike nayo.
Kutokana na mazingira hayo, wengi niliokuwa nao kwenye mahusiano...
MWANANGU ! UKIFIKA UGENINI ZINGATIA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE.
Kila mtu kwa sehemu ni lazima kawahi kuwa mgeni au atakuwa mgeni tu siku moja,kuwa mgeni haiepukiki kila mtu ni lazima atapitia, yawezekana ni ajira mpya au kutoka nyumbani kwenda mkoani kutafuta maisha.
Wengi tukifika ugenini huwa...
Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze mchakato wa kutafuta hosteli.
Kufika jijini, nikapokewa na Mama mwenye nyumba, Baba alikua bado hajafika...
Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti.
Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke.
Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha...
UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI.
Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa sana muhimu tu uishi nao kwa akili kubwa sana yaani utumie madhaifu yao kukunufaisha wewe .
Iwe...
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.
Au kanuni zimeshabadilika
Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ;
◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali.
◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana,
Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
Habari WanaJF,
Leo nimepita pale maeneo ya St. Peters karibu na Mbuyuni Jijini Dar es Salaam nimekutana na bango hili kubwa sana likiwa na maandishi mamubwa “Visit South Africa” inaweza kuwa sio jambo baya ila najiuliza na sisi kwenye nchi za Wenzetu tunafanya kujitangaza hivi?
Nawaza...
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na...
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC...
Uanaume ni mateso, yaani mababu zetu ndo walifurahia uanaume ila siku hizi ni mateso mara mia.
Nina jamaa yangu aliyumba kdg kiuchumi baada ya kuachishwa kazi miaka minne imepita, jamaa alikuwa ana hela kinoma, mke aliomuoa kwa ndoa ya mapepe mengi akamwomba amfungulie biashara huku yeye...
Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!!
Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni...
Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away.
Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini.
Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.