Na nakumbuka msemaji wenu Ali Kamwe na hata mashabiki wenu oya oya kabla hamjaenda kuzichezea 3 kwa 0 kwa CR Belzoud FC walisema na nukuu zipo kuwa wao namaanisha Yanga sc ndiyo mabingwa wa kushinda mechi za ugenini tofauti na timu nyingine ikilengwa simba sc ambayo haina rekodi hiyo kivile japo...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu.
Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
"when you are in rome, do what romans do"
Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa.
Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio ishu tena.
Wawili hao walipelekeana moto kwa sare ya 2-2 katika dimba la Benjamin Mkapa huku wengi...
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.
Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie...
Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze.
1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza.
Njemba alienda ukweni akagonga...
Bwana miaka ya nyuma Nikiwa zangu Tanga nishamaliza masomo afu nishafeli sielewi elewi kila kazi ninayofanya inagoma Nikaona ni vyema niongee na mama angu Ili nije dar kutafuta maisha.
Mama akaona nikija Dar ovyo ovyo nitakuwa TEJA ivo alimpigia simu kaka yake ambae mimi ni anko wangu na...
Nakumbuka hapo miaka ya 2015 niliwahi kwenda ugenini siku 3 hivi kuufatilia mambo yangu, ilinibidi niende kwa mjomba wangu alieniasa niende kwake.
Sasa tatizo nililokuwa nalo enzo hizo kinyesi changu kilikuwa kinanuka sana, yani nikitoka huko chooni ni kunanuka si kidogo, nilikuwa nakula...
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa...
UKIENDA UGENINI USIENDE MIKONO MITUPU!
Anaandika, Robert Heriel
Kama mtu unayejielewa, heshima sio kitu cha bure ingawaje huwezi inunua. Moja ya malezi bora ambayo kijana wa kike au Wakiume unapaswa kuwa nayo ni pamoja na mafunzo kuhusu kwenda na kuishi ugenini. Ukienda ugenini usiende Mikono...
Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza...
Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe
Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma...
Au tumbo linaamua tu kukuharibia...
hahahah
📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa hovyo sana Bora mechi iwe inapigwa moja tu kwenye neutral ground.
📝 Majib ya swali hili na lawama...
Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya...
Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
Habari za asubuhi wakuu Nina story fupi ya mtoto wa miaka 8 alifanya nijute kukaa UGENINI lengo la story hii tujifunze na tukemee vitendo visivyofaa kwenye jamii ili kudhibiti matukio ya ubakaji na wazazi tujitahidi kwa malezi Bora. Asanteni
Mwaka 2018 wakati nipo chuo hapa jijini baada...
Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili.
1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language.
2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda.
Sasa Kwa kuliona hilo naishia hapa. Muwe na usiku mwema wakuu.
Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba.
Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi..
========
Updates
Raja 5 - 0 Vipers
Wafungaji: Hamza Khabba 5', Jamal Harkass 11', Mohamed Zrida 38' , Yousri Bouzok 59' , Raja Aholou 71'
Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.