Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko.
Eleweni wako watu...
Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema.
Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.
Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii.
Kuna watu tena...
Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini.
Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo
Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini.
Msisime sikuwaambia.
Nakumbuka kwenye mtaa wetu palikuwa na chimbo la dawa lakini jambo la kushangaza ni kuwa licha ya kukaa hapo kwa takribani miaka 5 sikuwahi kunotice chochote mpaka pale jamaa yangu ambaye ni complete stranger alipokuja kunisanua, kuwa dawa zinapatikana location fulani nilibaki nashangaa...
Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha...
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania.
Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage.
Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja...
Manara kwa kusambaza clip aliyokuwa akimshutumu Babra, alijifunga own goal na kuondoka Simba Sc wanamichezo na mashabiki walimlaumu na wengine walisema ni tabia yake mbovu. Hajji akaanza mikakati ya kushambulia na kusawazisha goli kuanzia na ile press yake japo hata hiyo press bado alionekana...
Inafahamika kuwa Marais huwa na wasaidizi wao, kwa hapa kwetu msaidizi wa Rais ndio huwa karibu na Rais na huteuliwa kwa uyakinifu.
Nini hiki kinachotokea Kenya kuona Rais wetu anamsaidizi mwengine tena nahisi si kutoka katika taifa letu. Kiusalama ni nini hii?
Je, ulinzi wa Rais wetu upo...
Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe...
Huu ni uzi maalum kwajili ya kukumbushana baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo huwa tunavipuuza lakini kuna muda vinaweza kutucost sana na kutusababishia matatizo. Inaweza ikawa iliwahi kukutokea wewe au jirani yako.
Binafsi naanza kwa kuwapa mbinu mbili:-
1. Ukiwa ugenini au sehemu yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.