Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake
Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi ninayotoa na mimi ninufaike nayo.
Kutokana na mazingira hayo, wengi niliokuwa nao kwenye mahusiano...