Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba...
Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea masaa kw simu kwa nguvu zote kama roho inakata😡😡😡😡😡 na hajali Kama kuna watu wengine na ambao pia...
Wanabodi,
Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?.
Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
Habari za masiku tena, mwana JF.
Mara nyingi, tuwapo hapa Tanzania, tunaamini wengi wetu waliopo nchi zilizoendelea, i.e. Europe au U.S.A., wameshaagana na matatizo; kazi yao ni kuokota tu vibunda.
Sasa, ninaye rafiki yangu ambaye alipata nafasi ya kwenda U.S.A. kimasomo. Akiwa huko, amekutana...
Siyo mpenzi sana wa kufuatilia wala kuongelea maisha binafsi ya mtu ila hili naomba nitoe kama angalizo kwa muhusika tajwa ila inaweza kufaidisha na wengine.
Mwijaku amekuwa na tabia ya kupost video akiwa huko ughaibuni. Nakumbuka video zake kule Ivory Coast kwenye AFCON kama kumbukumbu zangu...
Ndugu zangu kama kawaida yangu Huwa nikipata wasaha wa kuwaasa vijana wenzangu , Huwa sipendi kuwa mchoyo wa taarifa hivyo Leo nimeona niwafunue ubongo maana kupitia bandiko langu nililoweka la fursa za ajira Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu
Watu wengi wamekuwa wakinitafuta kwaajili ya...
Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo.
Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu...
Inaitwa Justice Center Leoben, iko Austria ni jengo ambalo lina mahakama pamoja na jela. Aliyeli -design architect anaitwa Josef Hohenssin likakamilika 2005.
Lina uwezo wa kuweka wafungwa 205 na limejaa wafungwa 205 lengo la kujengwa gereza zuri hivyo ni kusimamia Kwa vitendo na kuonyesha...
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha.
Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Umufia kwenu wakuu,
Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani.
Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale...
Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
Habari wakuu,
Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia.
Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani.
Wenye experience na hii mtusaide kama kuna links za job advert na muongozo jinsi ya kupata.
Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga...
Jamani wanajamiiForums, kwanza na wasalimia kwa heshima zote. Leo nakuja na story moja ya ukweli ya mzee mmoja aliye amua kurudi nyumbani baada ya kuishi nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 28. nimekutana na huyu mzee akiwa kijijini kwake huko mkowani Shinnyanga, kwenye kimji kidogo kina itwa...
Hizi ziara mnazofanya na anazofanya Raisi wetu huko nje hazionyeshi kuwa na tija yeyote ile ya kimaendeleo na kielimu.
Leo nimeskia nchi ya Mali imekubaliana kushirikiana katika nyanja za mambo ya satalaiti na Urusi na kenya nayo imeweka makubaliano ya kielimu.
Viongozi wetu mnaenda kufanya...
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi.
Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania.
https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Japokuwa Nchi yetu inashika...
🇹🇿🇿🇦mzee baba 🇹🇿🇿🇦🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢
Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............🇹🇿🇿🇦💢💢
Ally Alawi amefariki tanzania 🇹🇿......
Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini 🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢
Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu...
Uganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta.
Hivi navyokwambia mradi wa mafuta wa Uganda unasimamiwa na vijana waliosomeshwa na Uganda.
Cha ajabu mradi wa mafuta wa Uganda unaajiri hadi watanzania.
Mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.