Kama taifa, ninashauri tutengeneze mkakati mzuri wenye tija tuwauze Wamachinga nje ya nchi kama #nguvukazirahisi (wakafanye kazi zile ambazo ni labour intensive/mitulinga lakini wanaretain uraia wao wa Tz) ikiwa hatuna mpango maalum wa kuwatumia hapa nyumbani. Mbona Wachezaji wanauzwa! Korea...
Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne.
Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama mnavyofahamu malipo ya posho huwa katika dola pale mnaposafiri na kiongozi mkubwa katika big four na...
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
Mzuka wanajamvi!
Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana.
Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona.
Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits.
Kazi za kubeba...
Amani iwe nanyi Wakuu,
Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
Mzuka Wanajamvi,
Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger.
Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua.
White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye...
Habari!
Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija).
Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza...
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.
Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana...
Leo nimekumbuka hiki kisa, nikaona weekend hii ni-share na Wanajamvi wenzangu, sijajua kama hapa ni jukwaa sahihi au la!
Miaka mingi iliyopita nilikuwa nchi za watu kimasomo, wakati huo nikiwa bado kijana mdogo. Nilipata nafasi hiyo kwa sababu ya kufahamiana na mwalimu mmoja aliyekuja Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.