ughaibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mbowe alipiga bunge tatu bila akiwa ughaibuni

    Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world. Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo...
  2. Tajiri wa kusini

    Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  3. mshamba_hachekwi

    Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

    Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo...
  4. ryaniza

    Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  5. jingalao

    Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

    Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k. Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za...
  6. Masangutu

    Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?! Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana. Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
  7. Phobia

    Nimechoka maisha ya ughaibuni

    Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna...
  8. kmbwembwe

    Hivi rais Samia amerejea nchini au bado anakongamana ughaibuni

    Nauliza tu wandugu. Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama anasafiri wapi na kama anasafiri sana na kwa faida kama ipo. Kwa wale wanajua rais Samia kama karudi please.🙏
  9. Kamanda Asiyechoka

    January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

    Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru. Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti...
  10. witacha matiku

    Ajira Ughaibuni

    Habari Vijana wa JF, Leo nianze kwa kutoa ushauri kidogo kwa wale wote wanaotaka kwenda kufanya kazi Ughaibuni hasa Saudia, Oman, Qatar etc. i) Tujiandae na nafasi ambazo tunahitaji (you) ii) Unapoona post kama hii please hit the questions / content, avoid inquisitive mindset. "achana na...
  11. Mkurya romantic

    Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!

    Katika orodha ya watu muhimu waliofariki nchini mwaka 2020, Jina la Erasto Barthlomeo Mpemba halimo! Watu waliofariki mwaka huo, na misiba yao kuadhimishwa kitaifa mwaka huo, wamo Rais mstaafu Benjamin Mkapa, John Kijazi, Mchungaji Rwakatare, Jaji Agustino Ramadhani, Waziri Agustine Mahiga—wote...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    Ushauri KWA Tundu Lisu;-Samehe yote,Rudi nyumbani,ujumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchango wako ni muhimu,Muda wa kukaa ughaibuni umeisha!

    Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania. Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
  13. Joannah

    Weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi

    Hapa kwetu nyumbani Tanzania ndio tunalala Sasa kupumzisha mwili, Huko UGHAIBUNI ndio mnaamka sijui? anyways nitajua vizuri nikifika hukohuko.... Basi bwana, leo weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi🔥🔥 Picha linaanza. Amita Bachani...
  14. chiembe

    Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

    Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani. Pia Lissu...
  15. Idugunde

    Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

    Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani? Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia...
  16. Colecole

    Tufahamishane kuhusu ajira za gereji na udereva huko Ughaibuni

    Poleni na majukumu popote mlipo Jamani naombeni kwa wenye ufahamu zaidi huko nchi za ughaibuni kuhusu ajira za garage au Udereva Moyo wangu unasukumo la Maisha bora hapo kesho natanguliza shukrani[emoji1666]. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  17. DocJayGroup

    Mtanzania Anarudishwa Bongo Kutoka Marekani. Ana USD 10,000 (23M Tshs) Tu. Mnampa Ushauri Aitumieje?

    Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
  18. FRANCIS DA DON

    Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

    Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not...
  19. britanicca

    Wadada watanzania wanaodanga Ughaibuni Jiheshimuni pia waonee huruma Kaka zenu wanaowasaidia

    Mwezi wa Kwanza Mwaka huu nilikutana na mdada maeneo wanapojiuza Waafrika Mara nyingi uwa najitambulisha Kama mkenya Kwa sababu wakenya wanajulikana zaidi hata ukisikika unabonga Kiswahili wanajua from Kenya! Nikawa napita eneo fulani nikakutana Na mdada Sintha si jina lake halisi...
  20. Autodidacts

    Zangira ni nani na katumwa na nani kuwashughulikia akina Lema huko ughaibuni?

    Kuna taarifa zimenistusha sana,zinarushwa kwa mtindo wa onyo hasa kwenye mtandao wa heshima...Twitter kuwa kuna mtu anaitwa Zangira ambae katumwa kuwashughulikia kimafia akina Lema na wenzake uko ughaibuni walipokimbilia kunusuru kesho yao. Huyu mtu ni nani hasa na katumwa na nani? Je 'muuaji'...
Back
Top Bottom