Habari za masiku tena, mwana JF.
Mara nyingi, tuwapo hapa Tanzania, tunaamini wengi wetu waliopo nchi zilizoendelea, i.e. Europe au U.S.A., wameshaagana na matatizo; kazi yao ni kuokota tu vibunda.
Sasa, ninaye rafiki yangu ambaye alipata nafasi ya kwenda U.S.A. kimasomo. Akiwa huko, amekutana...