Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni.
Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna.
Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili ashushie na juice ya matunda mchanganyiko.
Hapa kaisha maliza kula wakuu, ngoja nitoe vyombo...