Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...