Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.
Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku
Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka...
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
Watu hao juu huwa na wembamba mzuri na kukwepa magonjwa ya moyo,pressure na sukari,kwani hufanyeje fanyeje hadi kulinda miili yao?ili na sisi tuwe nayo.
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, na kujikomba kwa wazungu.
Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana...
Joker au jokeri, wacheza karata wanampenda na wanamwogopa, akikulalia huyu unahesabiwa una 50, kwenye adhabu unamlambisha mtu 5. Tuachane na huyu
Joker anayejulikana kwa jina la Arthur Fleck (jina halisi Joaquin Phoenix) kupitia movie ya JOKER 2019 na movie zingine nyingi zinazomuonyesha kuwa...
Kwa jina lingine hujulikana kama GENITAL WARTS.
SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine, ila ukitumbua na kupaka dawa hukauka.
SUNZUA mara nyingi huota...
Wakuu naomba mnijuze maana mimi mimi ndo nimeskia leo! Nilikuwa sina habari, Na Mbu huyo anakuwa Amemuuma mtu mwenye hayo magonjwa hapo juu,
Kisha akikuuma na wewe pia lazima uugue, pia naomba kujua dalili zake na pia tiba au chanjo.
Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa
Taarifa kutoka Ikulu imesema “Mkoa wa Analamanga, ambapo Mji Mkuu unapatikana, unarudishwa kwenye...
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
1. Muhula wa kwanza utaanza tarehe 29.06.2020 mpaka tarehe 28.08.2020
2. Likizo fupi itakuwa kuanzia tarehe 29.08.2020 mpaka 06.09.2020
3. Muhula wa pili utaanza tarehe 07.09.2020 mpaka tarehe 18.12.2020
4. Siku tulizosoma kabla ya kufunga shule kwaajili ya corona ni 52,siku zilizobaki...
Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser
Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni.
Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.