Hyperdontia ni ugonjwa unaosababisha meno mengi yaote kinywani kwa mfumo usio wa kawaida. Kwa kawaida mwanadamu huwa na meno 32 ambayo huitwa ‘Permanent teeth’
Dalili za ugonjwa huu ni kuota meno pembezoni mwa meno ya kawaida ambayo huota mtu anapokuwa mkubwa. Aidha sababu ya ugonjwa huu bado...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Kuna stage ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa. Familia masikini/fukara kuuza nyumba yao ya pekee ni pigo...
Wakuu salamu za asubuhi
Naomba mnitoe tongotongo, huu ni ugonjwa gani kwa kuku na dawa yake ni nini?
Kuku anakuwa kama amepaniki, anaangalia juu na mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu.
Hata kula anashindwa ni kama amepata kichaa. Mimi siuelewi huu...
Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations.
Harris and Emhoff were administered...
Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi
Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo.
Ni kifaranga chotara.
naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
Miaka zaidi ya 643 iliyopita, katika mji wa Aachen huko Ujerumani watu walianza kumiminika mitaani kutoka kwenye majumba yao na kuanza kusaka rhumba kwa kila aina ya staili. Wengine walicheza kiduku, wengine mapanga, wengine shaku shaku, wangine walishake, wengine wakacheza ngororo, ili mradi...
Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019.
Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa Wagonjwa ambao ilielezwa kuwa wanasumbuliwa na ugonjwa mbaya wa Koch Syndrome ambao ni sawa na...
Unajijua kabisa kuwa unamchukia 'Mtemi' mpya 'anayesimikwa' leo huko 'Omba Omba Land' na pengine tokea 'akuangushe' kwa Kiwango cha 84.4 katika Mpambano wake na Yeye umemtishia mno kumuharibia na mpaka kumshtakia kwa 'Wazungu' ambao nao leo hii 'wanaibiana' Kura huko Michigan, Georgia, Wisconsin...
Garry Turner ni muingereza anayeshikilia rekodi ya dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja rekodi kwa kuvuta ngozi yake kwa urefu wa inchi 6.25.
Tangu avunje rekodi hiyo Garry Turner amekuwa akifanya maonyesho kwa kutumia ngozi yake na kujiingizia kipato...
MINAMATA DISEASE
Ugonjwa uliogundulika kwa mara ya kwanza sehemu iliyoitwa Minamata kwenye mji wa Kumamoto huko Japan mwaka 1956.
Nini chanzo za ugonjwa wa Minamata?
Tarehe 21 april mwaka 1956, Mtoto wa kike wa umri wa miaka 5 alichunguzwa katika hospitali ya shirika moja la Chisso huko...
*Husababisha maradhi mengine *Muhimbili watibu watano kila wiki *Madaktari bingwa wataja chanzo *Matibabu yahusisha kukata utumbo KUTOKWA haja kubwa bila kujijua ni ugonjwa unaosababishwa na kukosa seli kwenye utumbo mkubwa zinazosaidia kusukuma haja kubwa kuitoa ndani ya utumbo.
Wataalamu wa...
Habarini za usiku ndugu na rafiki zangu? Bila kusita niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri miaka 26 nina mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo, maumivu ya mara kwa mara chini na pembeni ya kitovu na maumivu hayo huvuta mpaka shingoni na mwili mzima, maumivu...
Habari Wana Jf,
Samahani ni kwa wiki mbili sasa nmekua nikiwashwa kuanzia maeneo ya kiunon mpk miguuni hali hyo inanifanya nijikune kila wakati
Mbaya zaidi uume pia unawasha sana hvo nalazimika kujikuna k2 kinachopelekea kichwa cha uume wang kupata mabaka.
Nilienda pharmacy nikaambiwa ni...
Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau kuhusu ugonjwa huu
Wataalamu poleni na majukumu ya kuhudumia afya zetu,
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa Vitiligo, lips ya chini imebadilika colour na nyekundu kama nakunywa pombe kali, na kichwani nimetokewa alama nyeupe kama kishilingi, na shingoni nina...
Kwa tatizo hili la ugonjwa wa kisukari hapa nzchini kwanini wanasiasa wanaotengeneza ilani ya vyama vyao asiwepo mmoja akaliona hili tatizo na kuja na sera ya matibabu yake yawe bure Kama magonjwa ya TB na Homa ya ini, hasa chanjo.
Kwani kwa Sasa swala la chanjo ya Homa ya ini ni tatizo kuipata...
Nimeamka asubuhi tu nakutana na sms yao ati nitumie hela kwenye namba hii..! Haya majamaa sijui huwa yanafikiria hela ni kama pua tu kila mtu anayo!!.. wangejua hii weekend imekaa kikomamanga hata wasingetuma li sms lao..!
Mtu huna hata ya kununulia soda ya jero licha ya soda tusiende mbali hata...
Kulingana na daktari wa afya ya uzazi wa wanawake nchini Tanzania Dkt Berno Mwambe, hali hii kwa Kiingereza hufahamika kama Disorder of Sex Development (DSD). Hii ni hali ya viungo vya uzazi kukosa kukomaa.
Anasema kuna aina nyingine ya ugonjwa unaojulikana kama Mayer-Rokitansky-Kuster-Hauser...
Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia.
Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.