ugonjwa

  1. NostradamusEstrademe

    Siyo kila ugonjwa wa akili ni mapepo

    Nimeshawahi toa mada kama hii siku za nyuma.Kuna jirani yangu mtoto wake binti wa kidato cha pili anapatwa na mapepo kipindi flani flani.Kuna binti ya rafiki yangu naye miaka ya nyuma kama mitano akiwa kidato cha pili alipatwa na hali kama hiii. Kuna mwingine tena hivyo hiyvo lakini sasa...
  2. beth

    Rais Mwinyi: Ugonjwa wa Corona ulisababisha shida hata kwenye kulipa mishahara

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
  3. Kaporand

    Ugonjwa wa ngozi kukakamaa

    Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari
  4. B

    Ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo

    Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla. Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara kadhaa amekuwa akiimbiwa hilo ndo tatizo linalosumbua lakini bado hajapata tiba inayoeleweka. Kwa...
  5. B

    Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus

    Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
  6. Miss Zomboko

    Utafiti: Mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea Afrika

    Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika. Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
  7. U

    Wadau huu ni ugonjwa gani wa Kuku na unatibiwaje?

    Wadau vifaranga wangu wanaumwa midomo na macho! Inaanza kwa kutokea manundu manundu hadi yanaziba macho kama muonavyo! Naomba kujuzwa huo ni ugonjwa gani? Dawa za kuutibu ni zipi!
  8. Fundi Madirisha

    Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

    Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana. Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic...
  9. M

    Hofu/Woga ni adui mkubwa kuliko ugonjwa wowote duniani

    Kwanza nitoe pole kwetu sote wakati huu wa majonzi ya kumuaga mpendwa wetu. MUNGU amrehemu. Kwa uzezo wangu mdogo wa kutafakari mambo nimegundua Viongozi walitukosea sisi wanainchi sana. Siku chache kabla ya msiba huu, mitandaoni kulikuwa na taharuki ya kiwando cha juu sana juu ya afya ya Rais...
  10. Erythrocyte

    Askofu Dkt. Shoo aomba waliokamatwa kwa kumsingizia ugonjwa Dkt. Magufuli waachiwe ili tuomboleze nao pamoja

    Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa. Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa.
  11. B

    Wito: Tunapoomboleza tukumbuke Corona ingalipo duniani

    Mabibi na mabwana tuko msibani. Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko. Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo na kwa hakika hatutajilaumu kwa kuchukua tahadhari. Mikutano yote rasmi na isiyo rasmi pia...
  12. Slowly

    Huu ugonjwa tusiuletee macheko

    Binafsi nilishangaa Sana kusikia Katibu Mkuu Kiongozi, na Makamu wa Rais Zanzibar wamefariki kwa changamoto ya upumuaji (Korona in advance) viongozi wa juu kabisa wa kiserikali. Nilishangaa pia jinsi misiba ilivyoendeshwa bila tahadhari yyte. Kwa uchungu nilihoji pia usalama wa Rais, kama walio...
  13. J

    Dalili za ugonjwa wa figo kwa mtu kwenye shinikizo la damu

    Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg) Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu Kuwepo kwa protini kwenye mkojo Mgonjwa wa shinikizo la damu kuonesha dalili kama vile kuvimba, kukosa hamu ya...
  14. S

    Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

    Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k. Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa...
  15. H

    Kirung'u/kichui ni ugonjwa wa aina gani, ugonjwa huu ni common maeneo ya Moshi, Arusha!

    Kwa kichaga (cha kwetu) Rung'u maana yake ni chui, kwa hiyo sijajua kwa lugha nyingine unaitwaje na unaweza kua na majina mengine maeneo mengine kwa hiyo hilo sio jina rasmi nje ya kwetu Uko kama pumu/sio, pumu/tb/ sio tb yaani kifua kinabana mwanzo mwisho na kukohoa sana( kwangu haikua kikavu)...
  16. Sky Eclat

    Unapogundua mwenza wako si muaminifu na amekumbukiza ugonjwa hatua gani utachukua?

    Wanawake kutokana na maswala ya uzazi tunapata bahati ya kupitia vipimo vingi sana. Mara nyingi hapa ndipo unagundua una magonjwa. Hapa tayari una ujauzito na unafahamu ulikua muaminfu kwa mwenza wako. Kwa wanaume hali kadhalika, hujawahi kumfumania mke wako lakini unajikuta unapata maumivu...
  17. E

    Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona Pia shirika...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, unajua kuwa njaa ndio janga kubwa Duniani kuliko ugonjwa wowote ule?

    Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani. Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani. Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki. Je...
  19. N

    Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

    Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake. NB: Wanaishi banda moja
  20. Erythrocyte

    Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

    Kama hujaelewa hapa basi utakuwa na Chuki binafsi ====== Akihojiwa na Mwananchi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameeleza haya: Kwanza hamna taharuki kubwa kwa huu mwaka kama ilivyokuwa mwaka 2020. Mwaka wa 2020 tatizo hilo lilivyotekea taharuki haikuingia tu Tanzania, ilikuwa dunia...
Back
Top Bottom