Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea.
Sababu ilikua moja ya bandali kubwa ya kibiashara watu walisogea ili kupokea meli hizo na kupigwa na butwaa baada...
UMASKINI NA UVIKO-19 (COVID -19)
Athari za janga hili kwa umaskini hutegemea kwa sababu kadhaa. Kuongeza usawa na kupungua zaidi kwa ukuaji wa uchumi inaweza kusukuma watu zaidi katika umaskini. Janga hili pia linatoa changamoto kwa serikali , uwezo wa kifedha ambao ulikuwa tayari...
Wadau habari za jioni?
Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu.
Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na...
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama sijamaliza naapgrade mda wowote Nina pafyume zaidi ya Tano na zote mpya
Kuna mzigo nimeonesha ushatua...
Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
msaada tafadhali nimekua na tatizo la uvimbe kwenye kwapa kwa muda wa miezi mitatu sasa bila ya kujua tatizo nini au nasumbuliwa na ugonjwa gani ila sijisikii maumivu ya aina yeyote ila nakuwa na wasiwasi unawey
RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA.
Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika.
Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona?
Sisi kama watanzania hili swala...
Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020 na ndiyo maana hatukuweza kufungiwa majumbani na maisha yaliendelea kama kawaida.
Baada ya hayati...
Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari
Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu
Kuanguka na kutupa miguu au mikono
Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu
Kutokwa na haja ndogo au kubwa
MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka kwenye Kituo Cha Afya
Soma kwa kina: Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na...
Kifafa ni Ugonjwa unaoathiri mfumo wa fahamu na kusababisha mtu kupata degedege, kukakamaa, kuanguka au fahamu.
Kifafa kinaweza kuwa cha kurithi, kupata jeraha kubwa kichwani, magonjwa mengine (mfano homa ya uti wa mgongo), uvimbe kwenye ubongo, matatizo wakati wa kuzaliwa, na kiharusi
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Wakuu muu hali gani naomba kujua kinachosababisha mkanda wa jeshi na indicator zake pia madhara yake na kami huu ugongwa una tiba
Nawakilisha
---
UFAFNUZI WA KINA WA UGONJWA WA MKANDA WA JESHI
Kwa takribani miongo mitatu sasa...
Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri.
Hakuna chanzo kimoja hasa cha ugonjwa wa Skizofrenia, lakini mkusanyiko wa kigenetiki, mazingira na mabadiliko ya...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya Corona kabla ya kufanya utafiti wa faida na madhara ya chanjo hiyo kwa watanzania.
My take.
Chanjo ya...
Tooth sensitivity ni ugonjwa ambao hupelekea toothache.
Hali hii hutokea ambapo meno pamoja na fizi hupata uelewe wa kuhisi chochote. Kwa mfano meno yanapo guswa na maji baridi, meno yanapo pigwa na upepo au inapo tokea mtu anasugua kitu kinacho toa sauti.
Kama vile: chupa inapo suguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.