ugonjwa

  1. Crocodiletooth

    Naomba kujuzwa juu ya ugonjwa huu

    Habari za asubuhi waungwana wote hapa, Yupo ndugu yangu ameanza kuwa mweupe katika sehemu mbalimbali za mwili wake, weupe unaofanania kama wa zeruzeru vidoleni na miguuni. Je, huu ni ugonjwa gani na husababishwa na kitu gani au ukosefu wa madini gani na tiba kamili ni ipi? #Thanks you.
  2. Baba Vladmir

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Jambo watanzania wenzangu!! Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali. NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku...
  3. beth

    Ufahamu Ugonjwa wa Polio

    Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa. Virusi huzaliana katika utumbo na huweza kuathiri mfumo wa fahamu ikiwa ni pamoja na viungo kupooza...
  4. Kichuguu

    Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania?

    Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania? Ninakumbuka kuwa sababu kubwa iliopolekea hayati dr Mwele kuachishwa kazi Mhimbili ni kutangaza kuwa Tanzania ina wagongwa wenye virusi vya Zika. Baada ya hapo hatukuwahi kusikia lolote tena kuhusu ugonjwa huo. Sasa kwa vile pande zote mbili...
  5. L

    Dutch Disease: Ugonjwa unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali

    DUTCH DISEASE Huu ugonjwa ni effect ya resource curse. Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
  6. MAKOLE

    Ugonjwa wa ngozi

    samahani, ngozi yangu inaukavu na kukunjamana huku kuna vipele vidogo dogo sana na vinawasha. Ushauri tafadhali
  7. T

    Uchezaji wa kamari chanzo kikubwa cha shinikizo na mashambulizi ya moyo

    Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa mchezaji kamari yoyote naomba ajiangalie hali yake ya mapigo ya moyo pindi anapobeti mpaka pale...
  8. J

    Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  9. B

    Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

    Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono. Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu...
  10. Bahati furaha

    Mwenye kufahamu ugonjwa huu tafadhali

    Mwenye kufahamu tiba ya hii kitu asaidie wadau. Huu ni ugonjwa ambao husumbua sana kwenye migomba na baadhi ya miti.
  11. B

    Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

    Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida. Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi...
  12. Bess

    Kuangalia pono ni hatari kuliko kimelea cha ugonjwa

    Kuangalia pono husababisha yafuatayo: 1. Pre-ejaculation ama kumwaga kabla ya dakika ya kutakiwa kufanya hivyo. Hii husababisha kutopata watoto ama kutomridhisha mwenzi 2. Husababisha ndoto nyevu na pale semen inapotakiwa kusababisha mimba basi huwa ina mbegu dhaifu 3. Mtu huyu huathirika...
  13. Kasomi

    Mfahamu Daktari Aliyegundua Dawa Iliyotibu Ugonjwa Hatari wa Polio na Hati Miliki Ya Dawa Hiyo likapewa Jua

    MFAHAMU DAKTARI ALIYEGUNDUA DAWA ILIYOTIBU UGONJWA HATARI WA POLIO NA HATI MILIKI YA DAWA HIYO LIKAPEWA JUA. Jonas Salk alikuwa mtafiti na mgunduzi wa dawa ya ugonjwa wa polio alizaliwa October 28, mwaka 1914 New York , marekani . polio ni Ugonjwa wa kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda...
  14. Equation x

    Ila mahusiano ni upofu kama sio ugonjwa

    Tofauti ya mkono unaotumia pesa na mkono unaotafuta pesa; Ila mahusiano ni upofu kama sio ugonjwa.
  15. Surya

    Ujue ugonjwa wa Genophobia

    Genophobia (Fear of Sex) Hofu ya ngono au urafiki wa kijinsia pia huitwa "genophobia" au "erotophobia." Hii ni zaidi ya kutopenda tu au chuki. Ni hali ambayo inaweza kusababisha hofu kali au wasiwasi wakati ujamaa wa kijinsia unapojaribiwa (kufanya mapenzi) Kwa watu wengine, hata kufikiria...
  16. GENTAMYCINE

    Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
  17. NostradamusEstrademe

    Uoga uliopitiliza ni ugonjwa wa akili au ni hali ya kawaida?

    Jacinta Wambui ni mwanamke wa miaka 24 , kutoka nchini Kenya . Hisia zake na mawazo yake pamoja na upeo wake hususani kuhusu jinsia ya kiume au wanaume kwa ujumla, ni tofauti mno na ile ya wanawake wengi wa rika lake . Jacinta amejitokeza wazi wazi kuzungumzia hali hii ambayo imegubikwa na...
  18. zink

    Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la moyo

    Habari wakuu natumaini wote wazima wa afya. Kuna siku ilitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi umri 29 years mapigo yake ya moyo yalikua yanadunda haraka sana, hali hiyo ilipelekea kwenda hospitali ya taifa ya muhimbili kwa ajiri ya vipimo na alivyofika muhimbili kitengo cha cardiac Jakaya...
  19. kavulata

    Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

    Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
  20. E

    #COVID19 Corona ni ugonjwa halisi

    Corona, au uviko ni ugonjwa halisi na upo duniani kote hadi sasa umeingia hadi Alaska nchi zenye baridi sana. Magonjwa yote yatokanayo na virusi hukabiliwa(huzuiwa) na Chanjo (vaccine) tangu enzi za Nuhu. hakunaga anti-virus kama vile Anti-biotics ambazo huuwa Bacteria. Baadhi ya magonjwa...
Back
Top Bottom