ugonjwa

  1. JanguKamaJangu

    Simu inavyoweza kusababisha ukapata Ugonjwa wa Bawasiri (kuvimba njia ya haja kubwa)

    Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
  2. Kimbweka

    Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

    Habari ndugu zangu. Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa. Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa kama kidonda. Kinapona baada ya muda kinarudi.
  3. JanguKamaJangu

    Uhusiano wa Ugonjwa wa Selimundu na magonjwa ya Moyo

    SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu. Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini kutokana na wazazi wa pande zote mbili kushindwa kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuoana au kuzaa. Ikiwa...
  4. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  5. Roving Journalist

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  6. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa ajabu wa tumbo waibuka Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19. Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
  7. JanguKamaJangu

    80% watoto wa Gaza wana Ugonjwa wa sonona

    Watoto wanne kati ya watano wa Ukanda wa Gaza wanatatizo la msongo wa mawazo, huzuni na hofu ambayo imewatawala kwa miaka 15 waliyozungukwa na zuio la Israeli Ripoti ya Shirika la Save the Children imeeleza hayo baada ya kufanya utafiti wa zuio hilo ambalo lilianza Juni 2007. Watoto 800,000 wa...
  8. adriz

    Hujafa hujaumbika: Msanii Justin Bieber apatwa na ugonjwa wa facial paralysis

    Moja kwa Moja.. Msanii maarufu Justin Bieber ameshea video kwenye account yake ya instagram akieleza hali hiyo iliyompata inayosababishwa na virus aitwae 'Varicella zoster' ambao hushambulia nerves za sikio na uso. Kutokana na ugonjwa huo Justin Bieber upande mmoja wa uso hawezi kutabasamu na...
  9. sumu-ya-panya

    Huu ni ugonjwa gani katika macho

    Habari Wana jamiiforums, Kidogo Nina tatizo kwa mtoto wa miaka 4, Kuna muda macho Yana mwasha ,yanakua mekundu , kama unavyoona kwa picha,naomba kufahani ni ugonjwa Gani au hali gani. Asante
  10. L

    Dunia yaingiwa na taharuki wakati maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox yakizidi kuongezeka

    Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox. Monkeypox ni virusi...
  11. Higginz shirah

    Fahamu kuhusu UGONJWA wa Monkeypoxy unao tikisa vichwa vya habari DUNIANI

    WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD. Tap the link below for more information from WHO Monkeypox .
  12. beth

    WHO yashauri hatua za haraka kuchukuliwa kukabiliana na maambukizi ya MonkeyPox

    Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
  13. Lady Whistledown

    Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  14. Gama

    WHO: Ugonjwa wa Monkeypox unatarajiwa kusambaa zaidi

    Shirika la Afya Duniani - World Health Organization limesema kuwa linategemea kuwepo visa vingi zaidi vya mlipuko wa ugonjwa wa MONKEY POX na kupata visa vingi zaidi. Amesema pia kuwa kusambaa kwa ugonjwa huu kulipungua katika kipindi cha mlipuko wa UVIKO na kusema kuwa visa vya ugonjwa huu...
  15. JanguKamaJangu

    Watu milioni mbili duniani wanaishi na Ugonjwa wa Fistula

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume amesema ugonjwa wa fistula ya uzazi bado ni tatizo nchini na kwamba zaidi ya watu milioni mbili duniani wanaishi na ugonjwa huo. Amesema hayo kuelekea Siku ya Fistula Duniania Mei 23, ambapo mbali na idadi hiyo pia kuna visa takribani laki...
  16. Penny

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  17. Corticopontine

    Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

    Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
  18. U

    Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

    Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA. Ninawaomba sana wana JF
  19. Josephat Sanga

    Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

    Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
  20. John Haramba

    Ukitumia ugonjwa kuombaomba fedha mtaani, adhabu ni jela miaka 3 au faini Milioni 5

    Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa. Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
Back
Top Bottom