Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
Ulinzi umeimarishwa kati ya wasafiri wa ndani, wanaotoka na kuingia nchini Uganda ikiwa ni hatua za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ya nchi hiyo katika kuzuia virusi vya ugonjwa wa Ebola kusambaa ndani na nje ya nchi.
Chanzo cha kirusi hiki hadi sasa hakijulikani lakini popo aina ya...
Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari.
Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu.
Tulijifunza kwamba kisukari husababisha shinikizo la damu...
Surua ni nini?
Surua au kwa Kiingereza “measles” ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote ila huathiri zaidi watoto. Dalili za awali za surua ni koo kuuma, kikohozi , homa na madoa ya rangi ya kijivu au nyeupe kwenye sehemu ya ndani ya mashavu...
Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
WHO wameshtushwa na mlipuko wa ugonjwa wa ndui katika nchi ya Zimbabwe hasa kutokana na idadi ya vifi vilivyosababishwa na mlipuko huo. Mamlaka zimeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huo
=====
WHO triggers crisis response to Zimbabwe measles outbreak
Isaac Kaledzi, Deutsche Welle - Yesterday...
Habarin za weekend
Mim mwezenu mgonjwa sana napumulia mashine nikiwa natafuta kazi basi nilibahat kupata kazi sehemu moja uko posta sasa nilifurah nikasema now nitaweza kumudu familia mahitaj yake nisijue kuwa privete sector ni wanyonyaj picha inaaza hakuna nssf pili unapewa mkononi kiasi...
Naitwa Emmanuel ni kijana wa miaka 28,nilizaliwa na tatizo la ngiri maji mawasiliano.Ni ugonjwa ambao ungetibika nikiwa bado mtoto mdogo,lakini kutokana na kutopata elimu sahihi,Wazazi wangu walishindwa kulivalia njuga swala hili.Mpaka leo hii naishi na tatizo hili .Napenda kuchukua nafasi hii...
UTANGULIZI
Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa makubwa yanayosumbua afya za binadamu, Shinikizo la damu laweza kuwa tatizo liliotokana na madhara ya magojwa mengine ya mifumo ya mwili au laweza kuwa la asili(awali).
SHINIKIZO LA DAMU
MAANA
Shinikizo la damu ni musukumo wa damu ulioko...
Vipi hali zenu wakuu, kuna tatizo limemtokea brother, so nimeona nije hapa nitafute ufumbuzi wa tatizo kwa wale wanaofahamu aina hii ya tatizo.
Ipo hivi, brother wangu ni mlaji wa pili pili, japo sio ile ya ukali wa sana maana huwa anaogopa usipate huko baadae.
Juzi aliporudi nyumban alikuta...
Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya.
Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
Jiepushe na Maambukizi katika njia ya mkojo kitaalamu – UTI (Urinary Tract Infections)
Anaandika Dr MSANGY. 0752591744/0682080069
UTI – Ni maambukizi ya vimelea vya magonjwa katika mfumo wa mkojo – kuanzia katika figo (kidneys) unapochujwa mkojo hadi katika sehemu ya kukojoa yaan urethra. UTI...
Habari wana JF, Kadri siku zinavyozidi kwenda watu wenye uzito ulipitiliza wamekuwa wakiongezeka kwa kasi sana. Kwa Nchi za wenzetu wanauchukia sana unene kutoka na athari zake lakini cha kushangaza Tanzania ni Tofauti mtu anaponenepa hupewa sifa nyingi sana ikiwemo kuonekana maisha ameyapatia...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti.
“Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo...
Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa...
Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini.
Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.