Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusisha figo, kibofu cha mkojo, mrija wa mkojo pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo.
Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya E...
Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni.
Kauli hiyo...
Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani inatoa fursa ya kuongeza uelewa wa ugonjwa wa kisukari kama suala la afya ya umma duniani na nini kifanyike, kwa pamoja na kibinafsi, kwa ajili ya kuzuia, kutambua na udhibiti bora wa Ugonjwa huo
Ugonjwa wa Kisukari ni hali ya Kiwango cha Sukari kuzidi kwenye...
Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi.
Madai haya yana ukweli kiasi gani?
Chips ni chakula maarufu sana kinachotumiwa na watu wengi, hasa vijana. Baadhi ya watu huamini kuwa chakula hiki husababisha ugonjwa wa macho hasa kutoa machozi, maumivu ya mishipa ya macho pamoja na upofu.
Je, kuna ukweli wowote kuhusu madai haya?
Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Shalom,
Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki,
Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
Wakuu salaam,
Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na kupewa dawa (medications) tofautitofauti lakini mwisho wa siku hatupati nafuu.
Lakini kwa upande...
Oktoba 20 kila mwaka huwa ni siku ya ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis).
Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa.
Dalili muhimu za ugonjwa huu ni kupatwa na maumivu ya mara kwa...
Ugonjwa wa homa ya manjano (Yellow fever) husababishwa na vimelea vya virusi kutoka genus (jinasi) ya Flavivirus ambao huenezwa na Mbu.
Mbu hao hupatikana kwa wingi katika sehemu za ukanda wa Joto, barani Afrika na Amerika ya Kusini.
DALILI
Dalili za ugonjwa huanza kuonekana kati ya siku 3...
UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI?
Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa
Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI.
Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda kutoka na ASIYE NA PESA. Ukimpata ASIYE NA PESA unaenda kutoka na MWENYE PESA.
DADA ZANGU MNATAKA NINI...
Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah!
=======
BREAKING NEWS
DARK DAY FOR ZAMBIA
Shattered dreams, Sorry Computer
Enock Mwepu has been forced to...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1986 nikiwa na ufahamu na akili timamu, sikuwa naelewa kifafa ninini ila nilikuwa na maswali mengi sana Kila nikimtazama mama yangu mzazi ambaye asilimia kubwa mwili wake ulitawaliwa na vidonda. Nakumbuka Kuna wakati tukiwa kisimani mama alitumbukia kisimani si mara Moja...
Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.
Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
Kindetawili
Tega:
Mayor Quimby ana roho mbaya sana.
Waulize sasa watu wanao mjua huyo Mayor..
Katika watu 100 ukibahatisha mmoja ndio anamajua huyo Mayor na anatakwabia yupo tofauti na anavyoongelewa.
Wakati huo huo utakutana na watu 1000 ambao awajawahi kumuona ila wanajua mafanikio yake...
Na Daktari Augustine Rukoma
Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa kuambukiza. Jino lililooza linaweza kuambukiza meno yaliyogusana nalo na pia mgonjwa aliyeoza meno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.