ugonjwa

  1. Yese Kajange

    SoC02 Ufahamu ugonjwa wa Bawasiri

    Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Pia bawasiri unaweza kusababisha kujitokeza kwa kinyama kwenye njia ya haja kubwa au puru. AINA ZA BAWASIRI. Kuna aina mbili za bawasiri nazo ni 1. Bawasiri ya...
  2. Patandi

    MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
  3. Suley2019

    VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

    Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022 Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
  4. Lastmost

    Ugonjwa wa kuku kupata vipele kwenye utumbo unasababishwa na nini?

    Salaam, Habari za mchana huu? Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA. Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja. Wataalamu naomba kujua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
  5. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Ugonjwa wa Homa ya Mgunda hakuna mgonjwa mpya

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema: “Taarifa za ufuatiliaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wataalam wetu walioko Mkoani Lindi zinaonesha kuwa toka tarehe 18 Julai 2022 hadi sasa hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za ugonjwa huu. Hivyo hadi kufikia asubuhi ya leo tarehe 29 Julai 2022, idadi ya...
  6. Kinyungu

    Kwa nini Kanda ya Ziwa ina Kiwango kikubwa cha Ugonjwa wa Cancer kuliko Maeneo mengine?

    Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa. Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini. Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer Sasa najiuliza: 1...
  7. D

    Ni Ugonjwa au kujiendekeza??

    Habar wakuu Nimekuwa na shida kubwa sana ya kuwachukia wasichana wadodo wadogo under 30.. yaani hata sitamani kuwa nao kwenye mahusiano. Najikuta tu nampenda majimama na masingle mother je hii itakuwa ni Ugonjwa au kujiendekeza tu?. Nahitaji msaada na ushauri wenu mm Niko na 30yrs
  8. JanguKamaJangu

    WHO wajadiliana kuhusu kutangaza Monkeypox hali ya dharura Kiafya

    Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya. Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa kuna watu zaidi ya 15,400 walioripotiwa kupata maambukizi ya Virusi hivyo katika Nchi 71 tangu...
  9. Lady Whistledown

    Watoto 5 wa familia moja wadaiwa kufariki kwa ugonjwa wa tumbo Arusha

    Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini...
  10. K

    Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  11. Influenza

    Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  12. M

    KWELI Ugonjwa wa U.T.I unaweza kusababishwa na Kutokuwa msafi (Uchafu)

    Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa? Mdau huyu anashauri...
  13. beth

    Fahamu Ugonjwa wa Homa ya Mgunda

    HOMA YA MGUNDA NI NINI? Ni Ugonjwa ambao huambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Homa ya Mgunda 'Leptospirosis' husababishwa na Bakteria aina ya 'Leptospira interrogans' Dalili za HomaYaMgunda ni pamoja na Homa, Maumivu ya Kichwa na Misuli, Uchovu, Mwili kuwa na rangi ya njano...
  14. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  15. John Haramba

    Homa ya Mgunda: Ufahamu ugonjwa uliobainika Lindi, Tanzania

    Baada ya Serikali ya Tanzania kuweka wazi kuwa ugonjwa uliokuwa haujlikani na kusababisha vifo vya watu kadhaa Kusini mwa Tanzania hasa Mkoani Lindi ni homa ya Mgunda. Kitaalam ugonjwa huo unaitwa Leptospirosis au Field Fever. Homa ya Mgunda au Leptospirosis ni nini? Leptospirosis ni ugonjwa...
  16. gimmy's

    Waziri Ummy Mwalimu, waeleze wananchi kwamba ugonjwa uliogundulika Lindi ni rahisi zaidi kusambazwa na mbwa pia

    Salaam, Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa. Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani. Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
  17. beth

    Wizara ya Afya: Ugonjwa wa Mkoani Lindi ni Homa ya Mgunda (Leptospirosis)

    Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha ya Kiswahili inajulikana kama Homa ya Mgunda...
  18. Influenza

    Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

    Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
  19. Lady Whistledown

    Visa viwili vya Ugonjwa wa Virusi vya Marburg vyathibitishwa nchini Ghana

    WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio familia moja na virusi vya Ebola, baada ya majibu ya vipimo vya awali kutoka kwa wagonjwa wawili...
  20. JanguKamaJangu

    Mambo yanayokuweka katika hatari ya kuugua ugonjwa wa Ini

    Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili. Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
Back
Top Bottom