Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
Kuna maradhi Degedege na Kifafa, huwa yanawaingiza Watoto na watu wazima katika hatari, yakionekana kwa sura tofauti, kulingana na hali ya mgonjwa.
Kuna kundi la wanajamii wanaunganisha na ushirikina. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto Hospitali ya Rufani Mkoa Temeke, Salha Ally, anataja...
Umewahi kuona mtu hawezi kuongea mbele za watu?
Anatetemeka, anaogopa, haendi kwenye sherehe au mikusanyiko umewahi kujiuliza shida n nini?
Umewahi kujiuliza kwanini mtu hawezi kabisaa kukaa mbele darasani?
Umeshawahi kujiuliza kwanini mtu anachelewa kuoa au kuanzisha mahusiano au familia...
Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama / kuyakodolea utayaona yamelegea sana na muda wowote yatakatika vipande vipande na Kuanguka.
GENTAMYCINE...
Kwa mlioko mkoani Kagera au mlio na wapendwa wenu mkoani humo mna taarifa gani mpaka sasa kuhusu ugonjwa huu, maana kumekua kimya kiasi juu ya hili?
Muda si mrefu nimeona waziri mwenyewe dhamana Ummy Mwalimu anasema mpaka sasa ni watu nane tu ndio waliopata ugonjwa huo na kati yao watano ndio...
Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake.
Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na...
Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita.
Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake.
Nawasilisha.
Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu) kimerejea nchini na tayari kuna wagonjwa 72 na 3 kati yao tayari wamekufa.
Kwamba ugonjwa huo uko...
Marburg ni nini?
Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia mwaka 1967 huko Marburg na Frankfurt, Ujerumani pamoja na Belgrade huko Serbia.
Hata hivyo, WHO...
Watu 193 wakiwamo watumishi wa afya waliochangamana na wagonjwa wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera wamewekwa karantini kwa ajili ya kufatiliwa maendeleo yao ya kiafya.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada zinazoendelea kufanywa na serikali kudhibiti ugonjwa huo, Mganga...
TIME LINE YA UGONJWA WA MARBURG DUNIANI
Mwaka
Nchi
Ugonjwa ulipotokea
Ripoti ya idadi ya wagonjwa
Idadi ya vifo(%)
Kilichotokea
2023
Tanzania
Mkoa wa Kagera
8
5(63%)
March 21, 2023, Maofisa wa serikali ya Tanzania watangaza mlipuko kwa mara ya kwanza nchini wa ugonjwa wa Marburg.Tukio...
Mmoja kati ya watu watano waliofariki dunia kwa ugonjwa wa ajabu katika Kata ya Maruku na Kanyangereko Bukoba vijijini, mkoani Kagera alikuwa bwana harusi mtarajiwa.
Watu hao waliofariki dunia ni kati ya saba walioripotiwa kuwa na ugonjwa huo huku wakiwa na dalili za homa, kutapika, kutokwa...
Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na maambukizi ya mishipa ya kuhifadhia mbegu za uzazi (epididymo-orchitis).
Wakati mwingine Busha...
Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha...
Tarehe 16 March, hatimaye serikali ilitaarifu uwepo wa ugonjwa wa ajabu Kagera.
Wakati maisha yakiendelea mabasi nayo kazini.
Huu uchunguzi tulioarifiwa kuuhusu huu ugonjwa hadi lini?
Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini.
Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana.
Kijana wa...
Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.