ugonjwa

  1. O

    DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi. Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri muda ukivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya nikaona hata isiwe shida acha nijipumzishe na kazi...
  2. ndege JOHN

    Fahamu ugonjwa unaofanya mtu ajing’oe nywele zake kichwani

    Kujivutavuta nywele kwa kawaida huanza tu kabla au baada ya kubalehe. Wakati wowote, karibu 1-2% ya watu duniani wana ugonjwa huo. Takriban 80-90% ya watu wazima walio na trichotillomania ni wanawake. Mgonjwa anaweza kujihusisha na tabia hii kwa muda mfupi, wa mara kwa mara wakati wa mchana au...
  3. ndege JOHN

    Ugonjwa wa kuhara damu

    Huu ni ugonjwa unaotokana na mchafuko wa tumbo ambao unasababisha kuharisha kinyesi chenye damu au kamasi au vyote kwa pamoja. Ugonjwa huu usipotibika haraka unaweza kusababisha kifo kutokana na mwili kupoteza maji, virutubisho na madini kwa wingi. Dalili zake 1. Kuhara kinyesi...
  4. King Jody

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  5. Lycaon pictus

    Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

    Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
  7. KUKU_UFUGAJI

    Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

    Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu, mikono na miguu kufa ganzi, kuhisi kiwewe au kuchanganyikiwa, kichefuchefu, kuchoka sana, na kuhisi...
  8. jmratino

    Nisaidieni hospital inayodili na ugonjwa wa uvimbe

    Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha baba yangu anasumbuliwa na huo uvimbe, umekua ukimdhoofisha afya yake, tumejaribu mara kadhaa kumpeleka hospital lakini matibabu anayopewa yameshindwa kumponyesha, kwa maelezo yake anasema linavuta kwa ndani kama mtu aliyekulenga na mshale wa sindano...
  9. dyuteromaikota

    Tumsaidie prof J kutokomeza ugonjwa wa figo

    Toa taarifa viwanda bubu mtaani kwako vinavyotengeneza pombe feki. Usikae kimya maana inaweza kumkuta yeyote, hata wewe haupo salama.
  10. Roving Journalist

    Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  11. Pdidy

    Wanaohonga na kunuunua wanawake wana ugonjwa wa akili ama wanajizima data?

    Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani?? Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima anaangalia Porto Hawa huwa wanajua kabisa mabinti wanataka maokoto so huwa wanajipanga kipesa na pale...
  12. Wizara ya Afya Tanzania

    Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa...
  15. Miss Zomboko

    Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Dodoma

    YAH: TAARIFA YA MLIPUKO WA UGONJWA WA SURUA KATIKA JIJI LA DODOMA Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu. Mnajulishwa kuwapo na mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika Jiji la Dodoma. Na hili linatokana na sampuli zilizochukuliwa kuthibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Suru ana hivyo kufanya...
  16. mlinzi mlalafofofo

    Je mwili kutoka harufu ya kukera ni ugonjwa?

    Kuna watu ambao kwa asili yao wana harufu fulani ya tofauti ambayo kwa mtu mwingine inaweza kuwa ni ya kukera kwa kiasi fulani. Mhusika au wahusika wengi wenye hali hii mara nyingi ni watu coloured (wasio weusi) au hawa tunawaita weupe na mara nyingi unakuta wao wenyewe hawana habari kama...
  17. Pascal Mayalla

    Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  18. D

    Ugonjwa wa akili kwenye ndoa

    Short story: this is experience nimepata recently, Kijana kaoa familia ambayo mama wa mwanamke ana matatizo ya akili. ndoa ilikuwa fresh sana amna shida. shida ilikuja wamepata watoto wa 3, 2 wana shida ya akili. Wanapata convulsion (fit, degedege) za kutosha. wamefanya everything. sasa...
  19. Lycaon pictus

    Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

    Huyu mcheza kikapu maarufu ambaye hivi juzi ametangazwa kuwa bilionea ameishi na ngoma kw miaka 32. Aligundulika na UKIMWI mwaka 1991. Akatangaza hadharani kuwa kaukwaa. Hadi leo mwaka wa 32, akiwa na miaka 64 bado anadunda nao. Tajiri hafi kwa ngoma.
  20. Braza Kede

    Je kupenda kuwa alone ni ugonjwa?

    Mtu haumwi homa yoyote ya kuonekana. Hana tatizo la afya ya akili (Ukichaa). Anafanya kazi zake vema tu. Sio mgomvi/mkorofi Anajihisi huru mwenye raha na furaha anapokuwa yuko mwenyewe "alone" Je mtu kama huyo yuko sawa au ana shida ya namna yoyote ile inayohitaji matibabu?
Back
Top Bottom