ugumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KWELI Matumizi Makubwa ya Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha Madhara kwenye Figo

    Kuna ukweli gani kuhusu vinywaji vya Energy Drink kusababisha Madhara kwenye Figo?
  2. Kwa mliopata Utasa ukubwani ambao hamkuzaliwa nao nini ilikua chanzo cha tatizo

    Nina rafiki yangu amejaliwa watoto wawili nje ya ndoa !! Kufika kwene ndoa bila bila wakat na mke ana mtoto wa pembeni. Tupeni ABC!Mliopata matatzo ya utasa au ugumba ukubwani tatizo lilikua nini. Soma Pia: Tatizo la Ugumba kwa wanaume la zidi kuwa kubwa
  3. Msaada: Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tunatafuta mtoto bila mafanikio, tatizo linaweza kuwa nini?

    Habari wadau, Suala hili linaumiza kichwa. Kwa mujibu wa shirika la afya wanasema mwanamke akitimiza mwaka bila kuzaa na anashiriki tendo, basi huyo ni tasa. Sasa ni zaidi ya nusu mwaka mtoto anatafutwa bila mafanikio. Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa hizi changamoto. Kama mwanamke hana...
  4. Ongezeko la kutisha la ugumba

    Habari, Naomba niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada. Zamani ilikuwa wakikutana vijana ambao wako balehe na kushiriki tendo basi asilimia kubwa ni ndani ya miezi kadhaa tu walishapeana mimba. Lakini hali kwa sasa imekuwa tofauti mno kwani ukienda kwenye mahospitali dada zetu wanaotafuta...
  5. Serikali isilifumbie macho suala hili la Watanznia kuwa na Wagumba wengi

    Habari,
  6. KWELI Uvutaji wa Sigara huchangia ugumba kwa wanaume

    Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), takriban watu Bilioni 1.3 duniani wanavuta...
  7. SI KWELI Unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho husababisha ugumba

    Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba? Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM) Picha ya Mwanaume aliyelewa pombe (Picha: Adobe Stock)
  8. Muhimbili yasema Robo 3 ya matatizo ya Ugumba nchini yanahusu Wanaume

    Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye. Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
  9. Tatizo la Ugumba kwa wanaume la zidi kuwa kubwa

    Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30 kwa wiki, wakiwamo wanaume. Dk Thomas Kakumbi, ambaye ni mkuu wa kitengo maalumu...
  10. Tafiti: Ugumba kwa wanaume unakua kwa kasi sana

    Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
  11. Sauna, Bodaboda vinavyosababisha Ugumba

    Vijana hususani wanaume wallo kwenye umri wanaotarajia kupata watoto, wameshauriwa kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya kuoga katika sauna ikielezwa kuwa kiwango cha joto kwenye bafu hilo ni moja ya sababu za ugumba. Kadhalika, madereva wa bodaboda wakiwamo waende-sha vyombo vya moto...
  12. Waziri Ummy: 30% ya watu Nchini Wana ugumba, Serikali inafikiria kupunguza gharama upandikizaji mimba

    Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto." Aidha...
  13. TMDA: 30% ya Maduka Kanda ya Ziwa yanauza Dawa bandia za nguvu za kiume na P2 hatari kwa uzazi

    Asilimia 30 ya maduka ya dawa za binadamu Kanda ya Ziwa Magharibi yanadaiwa kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo hazijasajiliwa pamoja na dawa za kuharibu vichocheo (hormones) kwa wasichana ili mimba isitungwe maarufu P2, jambo linalotajwa kuhatarisha afya ya uzazi. Meneja wa Mamlaka ya...
  14. Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

    Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu. Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
  15. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…