Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba.

Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya hata shahawa zinapomwagwa sehemu sahihi zishambuliwe kwa kua zimeshakua flagged km kitu hatar kwa mwili

Unaweza kusoma makala ya kitabibu hapa.

Hii yaweza kua sababu uzazi unawasumbua wengi bila kujua sababu ni nini.
 
Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya hata shahawa zinapomwagwa sehemu sahihi zishambuliwe kwa kua zimeshakua flagged km kitu hatar kwa mwili
Wamesema shahawa kuingia kwenye maeneo ya mchubuko wakati wa ngono. Sasa niulize kwani hata kwa njia ya uke hakuna wanaochubuka? Na je shahawa zikiingia kwenye michubuko ya uke bado haileti hii kitu?

Research nzima imefocus kwamba anal sex ndio kuna michubuko kuliko njia ya uke. So mpaka hapo research ni hypothetical tu.

Ni sawa na kusema wanaochubuka na bati hupata tetanus bila kusema wanaochubuka kwa kutu zingine kama misumari je hawapati tetanus?
 
kitendo hiki kinafanya hata shahawa zinapomwagwa sehemu sahihi zishambuliwe kwa kua zimeshakua flagged km kitu hatar kwa mwili
---
Thread nzuri, Short and clear.
- Audio: Ndoa na Ugumba
 
Back
Top Bottom