1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza.
2. Inabid watu wapige mbichi ku-kutembelea rim.
3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.
MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa...
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha
Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao ya deni hali iliyoathiri vikao vikao vya bunge vilivyokuwa...
Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu.
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini?
At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu
Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe
Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA
Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga.
Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo.
Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
Wakuu heshima yenu.
Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika.
Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar.
Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote.
Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki?
Inatulazimu kununua maji kwa...
Anonymous
Thread
beach
bunju
kilungule
maji
mtaa
uhabauhaba wa maji
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro).
Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku...
Iran
Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa.
Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
Licha ya jitihada mbalimbali za Serikali kuhamasisha matumizi ya vyoo bora lakini maeneo yenye mikusanyiko ya watu, hali imekuwa siyo shwari kwa Stendi Kuu jijini Mbeya.
Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na stendi za mabasi na sehemu za biashara za vileo hali inayowalazimu kuwa na ndoo...
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi.
Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni.
Na Mungu atawabariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.