NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo.
Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
Ngebe nyiiiiingi, kumbe kisirisiri mnashoboka na Marekani pamoja na vitu vyake.
Sasa kama kuna uhaba wa $ nchini ndo nini sasa? Si na nyinyi mna sarafu yenu.
Wapumbavu wakubwa nyie. Kila mara kujifanya hambabaishwi na Marekani.
Marekani hivi, Marekani vile. Marekani maisha yake magumu...
Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi.
Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani.
CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi
Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
Wakati ikiwa na uhitaji wa chupa 150 za damu kwa siku, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imekua ikikusanya chupa 35 mpaka 60 pekee hali inayochangia uwepo wa uhaba wa damu hospitalini hapo.
Makundi yaliyotajwa kuwa hatarini zaidi ni yale yenye idadi ndogo ya watu yaani asilimia 1 ya Watanzania...
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe!
Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!?
HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa......
Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa.
Empty...
"Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda ikaenda 1600 lakini leo tunazungumzia kwenye 2550," Deogratius Temba, Mfanyabiashara
"Benki wanauza...
Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna.
Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa.
Tunakoelekea watu watafunga.
Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta.
Kwanza ninakushauri, katika...
Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani?
My Take
Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu.
---
MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA
"Sekta ya fedha hapa nchini na kwa ukanda wa SADC tunategemea dola, dola hakuna na zimeadimika. Wafanyabiashara hawapati...
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya...
Utangulizi
Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
Umofia kwenu.
Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini.
Nasema yapo...
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini.
Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation
Madhara ya contraction monetary policy
Kuongeza riba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.