Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi.
Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo.
Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!
Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.
Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe...
UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA
Utangulizi
Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko.
Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake...
Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli.
Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa huduma ya mafuta ambapo vituo vyote 7 havina Mafuta huku kituo kimoja tu Total Energies ndicho chenye...
Baada ya wananchi kulalamika uhaba wa mafuta Kwa baadhi ya maeneo nchini, hatimae EWURA wametoa tamko na "mkwara" kuwa mafuta yapo na kwamba makampuni yanayoficha mafuta yakae "chonjo"!
Imeenda hio.
---
Pia Soma:
- Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, Wananchi wanahaha kupata...
Nchi yetu Ina uhaba wa Fursa hata watu waliosoma skills From Vocational training , bado hawana opportunities za Kazi.
So tujikite kuzalisha fursa na sio kuwapa lawama vijana.
Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00.
Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada
Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia)
Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba...
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi
Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato
Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla...
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo.
Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China...
Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae.
Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile...
Huko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo!
Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na nini kama Reserve yetu ya USD iko chini?
Wachumi tuambiane! Mbona exchange ya USD bado iko...
Walalamika kila siku wanapoteza wanajeshi elfu, haivumiliki tena maana Urusi haiwapi silaha ipasavyo, wametelekezwa.....wamechoka maana wazalendo wa Ukraine bado wanatembeza kichapo, yaani ndio kama wanapata mzuka mpya kila siku.
=================
The head of Russia's mercenary Wagner Group...
Moja kati ya masuala ambayo yamezoeleka kusumbua na kuleta tafrani katika jamii ya Watanzania ni uhaba wa Sukari ambao umekuwa ukitokea mara nyingi tu katika miaka iliyopita.
Katika kuhakikisha Watanzania wanasahau changamoto hiyo kwa kuhakikisha sukari inapatikana ya kutosha mwaka mzima...
Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote.
Serikali...
JF SUMMARY
Mamlaka ya Maendeleo baina ya Serikali za Afrika Mashariki, (IGAD) imesema eneo kubwa la Pembe ya Afrika linatarajiwa kukumbwa Mzozo wa Kiuchumi zaidi kutokana na Ukame utakaoendelea kwa msimu wa 6 mfululizo.
Nchi za Ethiopia, Kenya, na Somalia zinatarajiwa kupata mvua chini ya...
Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku.
Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.